Report ya CAG tuwaachie Bunge kwanza,Mh Rais wewe endelea kujikita kuwatumikia Watanzania

Alex Fredrick

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
550
1,000
Week yote hii tunaona kila uchao habari ni CAG na Speaker ndio zimepamba moto karibu magazeti na mitandao ya kijamii.

Naamini baada ya report ya CAG kuwasilishwa Bungeni na hatimaye Bunge na kamati zake kufanyia kazi ndio tunaweza kuliongelea hili kwa ufasaha.

Kwa sasa Mh Rais John Magufuli ni wakati wa kuchapa kazi kwa maana Watanzania wanashauku kubwa ya maendeleo kama afya, elimu,maji ,miundombinu nazaidi usimamizi wa rasilimali zao

Narudia haya ya CAG tusubiri Bunge na kamati yake tunaweza kupanua mjadala

La mwisho kama kuna ubadhirifu wowote ule na hatimaye Bunge nalo likajiridhisha basi naamini Rais Magufuli atachukua hatua kali kwa wabadhilifu wote wa mali za umma

Alex Fredrick
Dar es salaam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,647
2,000

Nani alikua wa kwanza kuipelekewa hii report ya CAG?

Aliipelekewa ili aifanye nini?

Au afungie vitafunio vya 1B?
Kmaaa kibuyu!!!
 
Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
5,541
2,000
Ndugu Alex Fredrick,
Kwa andiko lako hili wewe ni zezeta na mburula.
Kamwe huwezi kutenganisha report ya CAG,BUNGE na RAIS....!
Huwezi kumwambia Magufuli ati ajikite kuwatumikia Watz ati wanataka maendeleo...!
Ni maendeleo yepi ilhali report ya CAG imejaa madudu yanayo onesha matumizi ya hovyo na ufujaji wa Fedha za walipa kodi? Tuondolee upuuzi wako bhana!
 
Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
9,862
2,000
Week yote hii tunaona kila uchao habari ni CAG na Speaker ndio zimepamba moto karibu magazeti na mitandao ya kijamii.

Naamini baada ya report ya CAG kuwasilishwa Bungeni na hatimaye Bunge na kamati zake kufanyia kazi ndio tunaweza kuliongelea hili kwa ufasaha.

Kwa sasa Mh Rais John Magufuli ni wakati wa kuchapa kazi kwa maana Watanzania wanashauku kubwa ya maendeleo kama afya, elimu,maji ,miundombinu nazaidi usimamizi wa rasilimali zao

Narudia haya ya CAG tusubiri Bunge na kamati yake tunaweza kupanua mjadala

La mwisho kama kuna ubadhirifu wowote ule na hatimaye Bunge nalo likajiridhisha basi naamini Rais Magufuli atachukua hatua kali kwa wabadhilifu wote wa mali za umma

Alex Fredrick
Dar es salaam

Sent using Jamii Forums mobile app
Taarifa ya CAG inaonesha utumikiaji wake kwa mwaka wa fedha uliopita, je ni sahihi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom