Kutokana Na mabadiliko ya SIASA zetu na Muungano unavyokwenda ni wazi kabisa tunatakiwa tusimame pamoja wananchi wote Tanzania bara kuirudisha Tanganyika.
Muundo wa Sasa inaonyesha ni jinsi gani wazanzibari wanaitumia Tanganyika kwa manufaa yao huku bara ikiwa hainufaiki moja kwa moja. Haya...
Guys rafiki yangu 42yrs( ME) Anatafuta mchumba kutoka nchi za Scandinavia Hasa hasa Sweden. Aliachana na mzungu wake Miaka miwili iliyopita na sasa anataka kupenda Tena! Anawatoto wawili age 10 and 13. Income yupo vzr!! Mwanamke awe 30-38 awe mwafrica kutoka EA.. DM kwa ambar yupo interest
Rafiki yangu anahitaji mke, anaishi Nairobi Kenya. Umri wake ni 40, mrefu, mweusi.
Vigezo
Umri 35-38, akiwa mwalimu itapendeza. Awe maji ya kunde, Mkristo na mtoto asizidi mmoja. Yeye ana mtoto mmoja, kazi yake ni Civil Engineer.
kuamini kauli za mwanaccm ni sawa na kuamini binadamu hawaitaji maji kwenye maisha yao!!! ungekua sio uadui msingekua mnaumiza upinzani, msingekua mnabambikia watu kesi msingekua mnawaua wapinzani bila kosa mbowe huyo mmempa kesi ya uongo yaani kama kuna mwanaccm na polisi ataingia mbinguni ujue...
Nimepitia maoni ya watu hapa wengi wanaona kama mwanaume anatatizo au kipato hana! Sio kweli income ya rafiki ya gu ipo vzr tu na huyo mtoto hakusoma hata shule moja ya kayumba amekua bording Hadi anamaliza form six. Likizo tu Ndio anaenda kwa sister wake na pamoja na hayo familia yake ipo vzr...
Rafiki yangu alinihadithia mgogoro kwenye ndoa yake japo chanzo nilipata kukijua miaka mingi iliyopita! Wakati rafiki yangu akiwa na miaka 19 alipata mtoto na msichana wa mtaani dogo enzi hizo alikubali lkn kumbe yule dada alikua na kadi mbili za clinic.
Baada ya raia kumtonya jamaa akasusa...
Naona unasubilia Meli AirPort!! Hivi wanaume au wavulana wengine hua Kweli mnauelewa kichwani! Hadi ukute mtu yupo kwenye sita kwa sita Ndio utaamini huyo ana mtu!? Wewe uliotoa hii post jipige kifua uambie moyo wako UACHE UFALA!
Sasa unakwenda kwao ili kuwaambia wewe Ndio kidume unamvua nguo mtoto wao au unaenda kupeleka kishika uchumba!? Au unaenda baada ya binti kupata mimba sielewi adhma yako nini
Mkataba wa miaka miwili uliisha na wasafi hawa kuongeza mungine tena akarudi alipokua maana angekua jobless zaidi ya kua balozi wa makampuni kupitia Instagram! Sio rahisi kumuajili mtu ambae hakai ofisini!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.