Wanaume wanzangu, pesa ndio itakufanya kupata mke yeyote unayemtaka na hata kuwa nao kumi

Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
13,402
2,000
Huu ni upotofu wa fikra. Sasa tutafute pesa ili tugawe gawe hovyo?! Ndio maana MUNGU anafunga milango ya baraka kwa vijana wengi sababu anaona mara atakapoifungua na baraka zikamwagika basi mtatumia kipato kufanya ufuska na sio kuishi kwa mapenzi yake.


Mimi nilitegemea useme labda, wanaume tutafute pesa tufanyie service magari yetu, tuya upgrade na spare za kisasa au kuyapamba na kufunga mziki mzuri.
Serikali imesema mchunge sana VITS zenu
 

kacnia

JF-Expert Member
Sep 16, 2014
3,005
2,000
Mtaa wa fisi kimoja= 3000tsh, tutafute hela kuanzia sh ngapi mkuu
 

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
53,900
2,000
Screenshot_20210717-214714_1.jpg


Amen.....
 

Smart911

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
61,976
2,000
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Watakuja kusema tusitumie pesa kama fimbo, kwanza makubaliano hapo ndiyo pesa hua na thamani...
 

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
31,810
2,000
Huu ni upotofu wa fikra. Sasa tutafute pesa ili tugawe gawe hovyo?! Ndio maana MUNGU anafunga milango ya baraka kwa vijana wengi sababu anaona mara atakapoifungua na baraka zikamwagika basi mtatumia kipato kufanya ufuska na sio kuishi kwa mapenzi yake.


Mimi nilitegemea useme labda, wanaume tutafute pesa tufanyie service magari yetu, tuya upgrade na spare za kisasa au kuyapamba na kufunga mziki mzuri.
 

Msangarufu

JF-Expert Member
Sep 18, 2018
1,774
2,000
hizi habari za tafuta pesa ili uyapatie mapenzi naomba mods mzifute ni uzushi mtupu
 

Offisho_Kid

JF-Expert Member
Sep 16, 2021
239
500
Aiseeh hii mambo ya kutafuta hela ili uwe na wanawake ni uwaki flani hivi

Tafuta hela umudu maisha yako na ufikie malengo yako...... mapenzi na hela ni sawa na umeme na usumaku[Electro-Magnetism]....hizi mambo huleta matokeo chanya yanapofanywa kwa mpangilio vinginevyo wacha mle za uso tu
 

Varbo

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
1,116
2,000
Nakubaliana na wewe kwa asilimia kubwa sana! Tutafute Hela, wanawake hawapendi mtu ambae hana Hela! Yaani wewe tafuta hela utakua na yoyote unaemtaka!
 

DocJayGroup

JF-Expert Member
Jan 17, 2020
1,169
2,000
Kwa mnaosema zikiisha ataenda kwa mwingine hamjaelewa mada. Ukiwa na Pesa, una-attract wanawake wengi. Sasa hapo ni busara zako tu kuhakikisha unaoa ambaye ATAKUENDELEZA na sio kukurudisha nyuma. Kama haujampata, unakula tu vitu utakavyo, hadi apatikane.
 

KIN NIGGA

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,153
2,000
Unatafuta mwanamke unayemtaka au atakaye kupenda na kukuheshimu katika hali zote.
Mwanamke akikupendea hela zikiisha then what next. All in all pesa ni muhimu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapo tu ni mitazamo mipovu, kumbuka kila mtu anampenda mtu kwa sababu zake. Hata mwanamke akikupenda kwa tabia yako ila jua siku ukibatilika atakuacha. Ni sawa ukiwa na pesa siku pesa zikipotea ndo basi.

NB: bora uwe na pesa maana kuachwa ukiwa huna pesa na alienazo, maumivu ni tofauti
 

KIN NIGGA

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,153
2,000
Huyo anayekutaka kwasababu ya hela lazima atamtafuta mwanaume mwingine anayempenda kutoka moyoni.Kwako atafuata pesa kule atafuata mapenzi.

Mapenzi uja kwasabu mkuu, pesa ni kigezo cha mwanamke kukupenda kweli.
Alafu mapenzi kama hauna pesa hata hayanogi, kuna siku za kuongelea mapenzi na siku za kuongelea investment.

Mapenzi ya i love you kila siku yanachosha.

Tafuta pesa mfurahishe mpenzi wako. Achana na zama et mapenzi ya kweli. Mapenzi ya kweli yana reason
 

KIN NIGGA

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,153
2,000
Mkuu,sema pesa itakuruhusu kula mwanamke unayemtaka ili sio kummiliki.Kumiliki mwanamke ni sanaa na kipaji kikubwa sana.Usione watu wanamiliki wanawake ukafikiri ni kazi rahisi au ni pesa

Maneno mengi mkuu yanachosha kila kitu kinahusiana na pesa.

Hukitaka kujua raha na mapenzi au ndoa kuwa na pesa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom