Recent content by vanus

  1. vanus

    Ukiachana na msemo " maisha yenyewe mafupi " ni msemo gani mwingine hutumia kujifariji ukitumia pesa nyingi kwenye starehe?

    Tafuta uzi mmoja hivi, Je ushawahi kupata pesa ukafilisika, ukimaliza kuusoma utajiona wewe bado sana
  2. vanus

    Rais Samia: Bei ya mafuta Marekani na Ulaya ni Dola 800 na Euro 400/600 lita 1, Sisi tuko vizuri, tuna uhakika wa miezi 3

    Hata angesema ni elfu 8 bado amekosea marekani mafuta yanauzwa kwa gallon Ambapo gallon moja ina takribani lita 4 za mafuta Sasa gawanya elfu 8 kwa lita 4 maana yake lita moja ni kama elfu 2 bado lita moja ya marekani ipo chini sana
  3. vanus

    Tulipo Hapa 1: Huu Ndio Ukomo wa Upeo Wao... Ripoti za CAGs

    Kuna wakati unaweza kujiuliza,hivi Mungu huwa yupo kweli? mbona watu wake wanateseka sana na yeye yupo kimya?
  4. vanus

    Ubaya wa kuomba lift kwenye usafiri binafsi wa mtu ni huu hapa

    Umenikumbusha nilikuwa nafanya kazi kampuni flani, kuna sister mmoja huwa tunaheshimiana tu hatunaga story zaidi ya salamu. Siku moja natoka kazini naona na yeye yupo nyuma yangu, akiniambia twende nikupe lift nikusogeze. Nikaona sio kesi, hao mdogo mdogo kufika mbele kidogo tukakutana na...
  5. vanus

    Uliwahi kupitia manyanyaso gani ulipoajiriwa private ?

    Mwanaume kuridhika kupokea mshahara wa 300k ni kujichimbia kaburi Weka nauli, mahitaji kama chakula, mavazi, kodi, mke na watoto hapo mshahara wote unaisha na madeni juu familia haitapata milo mitatu na wewe hutokaa uongeze shati wala kiatu ni mateso makali sana.
  6. vanus

    Wanawake wa Kahama bwana

    Zee la vipodozi
  7. vanus

    Biashara ya bolt jijini Dar es Salaam

    Bolt wanahitaji kwanza uwe na psv, hapo lazima gari iwe plate number nyeupe na ina vipengele flani hivi,
  8. vanus

    Biashara ya bolt jijini Dar es Salaam

    Habari zenu wakuu. Nina gari aina ya Toyota i.s.t nataka niifanyie biashara ya bolt hapa mjini kama kazi ya ziada. Swali langu ni kwamba, naweza kufanya biashara ya bolt kwa kutumia gari yenye plate number ya njano? Kama nilivyosema ni kazi ya ziada tu nikiwa free. Kama itawezekana kuendesha...
  9. vanus

    Mhitaji wa chumba/nyumba/maeneo ya kuanzia Mbuyuni hadi Tegeta

    Fungua hata thread mpya, watafutaji wa vyumba na nyumba ni wengi sana na wanasumbuka sana, ukifanya hivyo itakuwa msaada mkubwa
  10. vanus

    Mhitaji wa chumba/nyumba/maeneo ya kuanzia Mbuyuni hadi Tegeta

    Una master ya 100k mapipa?
  11. vanus

    PostGE2025 Vilio vitaanza vya watawala muda sio mrefu kuanzia kesho

    Hahaha Nitafutie chumba na mimi hapo mkuu
Back
Top Bottom