Recent content by vanmedy

  1. vanmedy

    JamiiForums Tanzania Wazoefu wa hii njia: Nina safari ya Dar - Kahama, sasa Nina Maswali hapa Msaada

    Hiyo budget ya mafuta hiyo chuma ni Hybrid!? If not i assume kwa makadirio ya juu kabisa (cc1300 hiyo si ndio?) itakuwa inakula 21 km per 1 litre, jumla una km 2,700÷21=128.6km kwa hiyo jumla itakupa 128.6km× 3900sh (makadirio ya bei kwa lita)=504,128.6 sh (kuna issue za elevation, barabara...
  2. vanmedy

    JamiiForums Tanzania KERO Askari Polisi wengi hatupati posho ya pango

    Kazi ya l**na
  3. vanmedy

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi wa Postgraduate (UDOM) tunanyanyasika na malipo ya kiholela

    Hiyo tabia ya kutegesheana extension penalties ni kweli wanayo.. na huwa hawataki maelezo
  4. vanmedy

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anatelekeza chumba chake na kwenda chumba cha mtoto

    Hizo drama ni kabla ya ndoa, ukioa huyo jiandae na heart attck
  5. vanmedy

    JamiiForums Tanzania Yaliyonikuta mwaka 2008 nilipopanda basi moja na mama mkwe wangu niliyekuwa namuheshimu

    2008 basi gani lilikuwa na charger!?
  6. vanmedy

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi kwa binamu aliyeolewa kunikopa hela kila mara?

    "Mtaka nyingi nasaba hupata mwingi msiba"
  7. vanmedy

    JamiiForums Tanzania Pamoja na ufaulu kupanda, shule za kata Dar hali ni mbaya, Division Zero ni nyingi sana, Afisa Elimu aondolewe

    Shule imerundikiwa watoto 634 na unataka wafaulu wote!, tafuta private school au hata government school iliyofanya vizuri ikiwa na idadi kubwa ya wahitimu kama hao
  8. vanmedy

    JamiiForums Tanzania Msada taa ya nyuma

    hebu peruzi kwa hawa jamaa wanaitwa smgautostyling https://www.instagram.com/smgautostyling?igsh=MTA4ZnFhbnJwaTQ4
  9. vanmedy

    JamiiForums Tanzania Ikitokea Manchester City akashinda leo navuta milion 50

    Hata refa wa mechi alibeti kuwa arsenal anafungwa
  10. vanmedy

    JamiiForums Tanzania Kudaiwa maegesho yasiyo halali

    Vijana wanapewa target kubwa ya makusanyo, matokeo yake wanaumiza watu sana ili kufikia malengo. Kuna unfair ticketing, yani ni kama wizi uliohalalishwa. Halafu ni majeuri na wako hostile sana.. kwa sasa ni kawaida kuja mtaani nyumbani kukuandikia hata mahala ambapo si hifadhi ya barabara...
  11. vanmedy

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, nataka kuwekeza kwenye taxi mtandao

    Mkuu jiwinde upate hata milioni 5 utafute vits old model iliyo katika hali nzuri, swala la routes za garage lisiwe changamoto kwako labda kwa services za kawaida, ubaki kupambana na routes za barabarani na wateja wako na mikono ya matrafiki
  12. vanmedy

    JamiiForums Tanzania Nimeamua sasa kuachana na ualimu na kwenda kusoma

    Anza kusoma Open University.. Masters ya kitu kingine haitakuongezea kitu kwenye ajira na huwa wanabania wakijua unataka kudiverge kutoka kwenye msingi wako wa elimu ya shahada, Kwa vile tayari una shahada/degree hawatakuruhusu kwenda kusomea ngazi hiyohiyo ya elimu watakupiga mizengwe...
  13. vanmedy

    JamiiForums Tanzania Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Achukue huu ushauri hasa hapo kwenye kuimega safari vipande viwili, na kwa kituo atakachoamua kulala (nashauri dodoma/morogoro kokote ambapo ataliwahi giza kulingana na mwendo wake) ASUBUHI KABLA HAJAWASHA GARI KITU CHA KWANZA AKAGUE REJETA (COOLANT/AU KAMA MZEE WA MAJI) aangalie kama imepungua...
Back
Top Bottom