Recent content by Vanc

  1. V

    Dada yako anaolewa: Nini hasa kinachokufanya ufurahie?

    Duuu? Yaelekea nduguzako wa sipo olewa na kuzalia nyumbani kwako ni furahaa
  2. V

    Ikizidi inakeraaaaaaaa

    Polesana akuna mapenzi ya pesa sikuhizi zaidi utasa babisha umengwe na kuacha njiapanda bila kujua jamaa anarudi au ndiyo kasepa
  3. V

    Jamani Mume wangu Ananiogopa...

    Kunamambo lazima ya namtatiza na nivigumu kusema 1.kipato chake kuwa chini 2.kama anaishi kwako nalo tatizo 3.mwonekano wako wakima umbile (mnene sana au mwembamba sana) 4. Kampani aliyo nayo karibu wakati wa kubadi lishana mawazo (utani wa kuambiwa analelewa huleta kutokuji amini) haya ni...
  4. V

    Tatoo sehemu za siri

    Hakika huo niulimbu keni wa kimawazo wengi huiga wakidhani huleta akshi ndani ya mapenzi mbaya zaidi wachoraji wengi ni wanaume hani ingilii akilini binti avue ch...p kisha jamaa achore bila kupata hisia yoyote wengi humegwa kwanza kisha kaziiende lee
  5. V

    Kina dada mmezidi kuwa maji mara moja dah

    Kilicho kufanya uchukue namba yake ya nini kama ulikuwa humwitaji? ya wezekana ulikuwa una mmendea kwa muda mrefu kufanikiwa kupata namba yake ndiyo unaanza kashfa je? Angekunyima namba au k.... ungewa ambia wana jf
  6. V

    Utafanyeje pale unapogundua mchumba ako aliwahi kutoa mimba?

    Huyo dadainao nyesha alijifunza kutokana na makosa ya wezekana wengi walisha gusa mzigo kwa minadi ya ndoa ndiyo maana anakubania hadi utimize ahadi
  7. V

    jaman dunia imeisha

    Hiyo ndiyo dunia yaleo mweleze atulia mapenzi ataya kutatu? Hayaishagi papara zake zaweza kusitisha ndoto zake
Back
Top Bottom