kafutu kutoa tigo si utumwa ni maamuzi na makubaliano tuu................We mdada kwanza badilisha fikira zako, huyo sio mume sema mchumba au mpenzi. Halafu mbona ni kama wew ni mtumwa wa mapenzi, yaani unafikia hata hatua ya kutoa 0713.... That is too much, achana na uchafu wa 0713... mjiheshimu na hiyo ni chukizo kwa muumba
Halaf kumbuka mwanaume hawez kuwa huru kwa kukaa kwa mwanamke yaan hiyo ni asili yetu, nikupe mfano, kuna jamaa mmoja na mkewe wanafanya kazi kwenye shirika la dini ambalo hutoa nyumba kwa wafanyakazi, lakin mambo yalipoenda vizuri kila mmoja akajenga nyumba yake.Mama akajenga Mbezi beach na baba Makongo juu, mpaka sasa miaka imepita wameshindwa kuhama nyumba ya shrika kwa sababu kila mmoja amegoma kuhamia nyumba ya mwenzake.
Sas kwako wew kama unataka huyo mchumba wako awe huru anzishen miradi au mradi wa pamoja na mjenge nyumba pamoja, au kwa kuanzia mnaweza kuhama nyumbani kwako hata mpange sehemu nyingine. Na katika kupanga umpe uhuru huyo kijana kutafuta nyumba na kuamua chochote, nakwambia baada ya hapo atabadilika.
Yaani hiyo ndo sababu na hata umuulizeje hawezi kufunguka kabisa, lakini we tafuta namna ya kumconvince kwa vyovyote mhame hapo kwako utaona tu.
Dada yangu nimeishakwambia hapo juu achana na uchafu huu wa 0713.. ni chukizo sana. Lakini pia kama hamna kizuizi fungeni ndoa, kwa ni hata mapenzi au ngono ya kawaida kama hajaoana ni chukizo.
kafutu kutoa tigo si utumwa ni maamuzi na makubaliano tuu................
Nitafute PM nitakupa msaada wa ukweli zaidi, hapa jamvini sio...............
Watu mnavyojua ku-take advantage si mchezo.
Yani mwenzako amekuja hapa kwenye public anataka msaada wewe unamvuta chamber? kuna shida gani kutoa ushauri hapa barazani kabla ya kuhamia mafichoni?
Watu mnavyojua ku-take advantage si mchezo.
Yani mwenzako amekuja hapa kwenye public anataka msaada wewe unamvuta chamber? kuna shida gani kutoa ushauri hapa barazani kabla ya kuhamia mafichoni?
Kaka jogoolakigoma nilijaribu kumsukumia huko akabaki kucheka tuu, kila ninapojaribu kumwuliza unataka nikufanyie nini hajibu anacheka tuu. nitajaribu tena leo, nipo serious!
Habari wana jf,
Jamani mwenzenu nimepata mtu mzima mwenzangu wa kuliwazana cha jabu huyu kaka tunapokuwa tuko faragha namuona hajiamini hata kidogo, licha ya kumwachia mwili wangu wote lakini, bado ananiogopa. Najitahidi kumapa malavidavi yote bado hajiamini,
pili tatizo nililomgundua uwezo wa kuplay game for 20minutes hawezi, yaani nikibadilisha mkao tuu kosa inadidi uibust, je wapenzi ni tatizo gani? maumbile au kwa vile ananiogopa? ushauri wenu tafadhali
oh tate nane!