Tatoo sehemu za siri

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
5,417
3,154
Kuna utamaduni watu, hususani vijana wa Kitanzania, wameiga kutoka nchi za magharibi wa kuchora alama, jina, n.k sehemu za usiri, husussani kwenye makalio au kwenye mapaja ili kuashiria wanaupendo wa dhati dhidi ya wapenzi wao.
Je ikiwa kama mpenzi wako atachororwa utamchuliaje?
 
Kuna jamaa alikolea kwa binti, akashinikiza kuweka siani. Yule binti alikuwa na mafiga matatu, figa moja likang'atuka kimya kimya, lile la tatu likaanzisha mtiti wa nguvu kwa kuwa liligharamia sana, hatimaye yote matau yakasaliti amri.
Je ukikuta binti ana saini ya mtu karibu kabisa na kikojoleo utamkubali??
 
Kuna utamaduni watu, hususani vijana wa Kitanzania, wameiga kutoka nchi za magharibi wa kuchora alama, jina, n.k sehemu za usiri, husussani kwenye makalio au kwenye mapaja ili kuashiria wanaupendo wa dhati dhidi ya wapenzi wao.
Je ikiwa kama mpenzi wako atachororwa utamchuliaje?

Awe kachorwa na nani kwa ajili ya nani? By the way, kujichora hivyo kwangu naona kama utoto, samahani sana!
 
Kuna watu wanatoa huduma ya kuchora.... Haiingii akililini mwangu ati mtu mwenye akili anaridhia kuweka maungo, kususani uchi, yake kwa mtu mwingine ili amchore. Ulimbukeni utatumaliza.
 
Vijana bhana! Kuku wako manati ya nini? Kama unapendwa unapendwa tu haina haja ya kulazimisha na haya mambo ya kuiga
 
Hakika huo niulimbu keni wa kimawazo wengi huiga wakidhani huleta akshi ndani ya mapenzi mbaya zaidi wachoraji wengi ni wanaume hani ingilii akilini binti avue ch...p kisha jamaa achore bila kupata hisia yoyote wengi humegwa kwanza kisha kaziiende lee
 
Tattoo+Patterns+For+Women2.jpg

Cat_tattoo_437.jpg

Tattoos-on-the-thigh-for-women12.jpg
 
Kuna utamaduni watu, hususani vijana wa Kitanzania, wameiga kutoka nchi za magharibi wa kuchora alama, jina, n.k sehemu za usiri, husussani kwenye makalio au kwenye mapaja ili kuashiria wanaupendo wa dhati dhidi ya wapenzi wao.
Je ikiwa kama mpenzi wako atachororwa utamchuliaje?

Kwangu matangazo NO, kama ananipenda au ninampenda matendo tu ndio yatakayoonesha na so matangazo! Tukimwagana je! atachorwa mwingine?
 
Sehemu nyeti umeenda mbali sana
Mie hata mtu akijichora kidoti tu tupa kule

Sembuse ana mijina ya watu sirini??!!
Kwanza namla afu namtema lol
sio kwamba atakukula alafu akuteme
ahahahahahahaha
Leo upo km ME?
 
Kuna mtu alijichoma pasi baada ya Ex wake kumtema halafu alikuwa na mikakati na jamaa mwengine.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom