vichwa vimejaa matusi tu. nyumbani matusi, mama anamtukana mtoto wake mtoto anamtukana mzazi, shulen matusi. kazini matusi,kwenye daladala matusi,kwenye mpira bungeni kanisani msikitini,kila kona matusi. ht sijui Mungu katuumbaje sisi.
Siku watakapoapishwa kuongoza TZ ndio utaelewa. Kwa sasa ufaham wako umefunikwa. Ungekuwa mfuatiliaji wa History ungeelewa vizuri sana. Hiyo ndio njia ya wote wanaopigania mabadiliko. Mabadiliko huwa yana gharama kubwa.
vyovyote vile zzk ana roho ya uasi. mtu anayetaka kufanya mapinduzi ndani ya chama, akipewa uwezo atawaza kupindua nchi. nashangaa mtu anayejiita mfuasi wake. hapo ni ukabila, udini, njaa na ujinga mwingine. usomi hauondoi upumbavu.
Damu ya binadamu ni tofauti na ya mnyama, bila kutubu na kuacha huu uovu wahusika wote damu hii inayomwagika katika ardhi yetu itawanenea mabaya mbele za Mungu Mwenye haki naye atawalipa sawasawa na uovu mnaoufanya hasa hao waliopewa dhamana ya kuwalinda watu na sasa ndio wanaowaangamiza. Kama...
Haya ni majanga makubwa! Watanzania wenzetu wamekufa kwa mabomu, ila cha ajabu baadhi ya Watanzania wakiwemo viongozi wnatoa kauli za kejeli kiasi hiki. Hii kali. Tz kila kitu siasa hadi misiba siasa.
Wabongofleva na wabongomovie, wape heshima yanayostahili kama binadamu. na kama unaidharau kazi yao jiulize kama hujawahi kusikiliza muziki au kuangalia movie na. Wanaweza kuwa wenye mawazo mazuri ya kulikomboa taifa kuliko ww. Hata wamachinga, wapiga debe, wasukuma mikokoteni, mama nitilie na...
Wangeanzisha TV kwa wakati huu ingekuwa poa sana kwa sasa kwa mazingira ya TZ, Television ndio chombo chenye nguvu kuliko radio hasa tunapoelekea uchaguzi 2015. Radio ndio ingekuja kama hatua ya pili.
Huna sababu za kujieleza , weakness yake ipo wazi kwa kila mwenye macho ya kuona. Bajeti inasomwa kila mwaka kwa sababu tu inatakiwa isomwe lakini kila wakati wanaoleta bajeti huonekana kama wanaotimiza tu wajibu kwamba bajeti imesomwa. Kwa nini ndani ya bajeti zetu tusionyeshe mipango yetu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.