Niliwahi do na mdada flani, mpaka tunamaliza nakuta shuka zimejaa damu. Naye pia alishangaa coz haikuwa katika siku zake. Nakumbuka ilikuwa ni ghetto kwangu, akatoa shuka zote muda huo huo akanifulia na kufanya usafi.
Baada ya hapo, hatukuonana kama miaka mitano, coz nilisafiri kikazi mkoa...
Yaani nyumbani kwangu, mama mkwe alete mwanaume halafu mimi nikalale guest house? Huu ukichaa siwezi fanya. Kama ameshindwa kuniheshimu, na mimi sina haja ya heshima. Ningefukuza usiku huo huo, kama ndoa na ife. Pumbavu zake.
Piga na chini hiyo Ng'ombe. Au una uhakika hamtakosana tena? Coz kama mlikosana akaenda kuliwa na mwengine, nini kitamzuia kwenda tena kuliwa pindi mlikosana tena?
Nimeiona huko Twitter, inasemekana Katibu wa Kanisa la Mchungaji Masanja amejiua na kuacha waraka mrefu unaoeleza kuwa, alikuwa na mahusiano na mke wa Mchungaji wake Masanja, na kwamba penzi hilo limeelekea kufa, hivyo Katibu ameshindwa kuvumilia.
We ni mwanaume, lakini una moyo wa kike. Mtu ambaye ametaka mwenyewe kuachana na wewe, na kwenda kwa mwingine, ambaye pamoja na manyanyaso yote lakini bado hataki kuondoka kwenye mahusiano hayo, then wewe ndio umuonee huruma kuliko yeye mwenyewe kujionea huruma?
Nikwambie tu, hiyo ni difence...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.