Recent content by Van dick

  1. Van dick

    Kwanini Shule ya Sheria iko Dar pekee?

    Sio huko tu serikali iliyo seriously pia itupie jicho kwa chuo cha usafirishaji pia yaani NIT found only mabibo dsm tunashindwa wa mikoani kujiendeleza
  2. Van dick

    Hawa ndiyo Wazungu kama ulikuwa huwajui!

    Sure man wamekwepa hoja ya msingi kabisa sjui nao ni misukule ya magh!!!
  3. Van dick

    Hotuba ya Magufuli na Sekta ya Elimu

    Nakuunga mkono 1000% mtu wangu usemalo hata mm latoka rohoni kwa CHAGUO hilo la mungu na LUKUVI Mungu amjalie MAGUFULI awe Wazir wake mkuu. CCM CHAKAVU CDM CHAMA LKN RAIS MAGUFULI NA LOWASA FISI NO MORE
  4. Van dick

    GE2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

    Halafu wanafanana sana tena asana LODILOFA
  5. Van dick

    Walimu mlioko Dar mfikishieni Lowassa kiapo hiki akisaini tarehe 29 Agosti

    Mishahara mdogo kwa elimu gani ulokuwa nayo?? Kama msing komaa na elimu sasa sio Mishahara midogo lia na haki zingine hapo juu kama alivyoandika mtaalam sio Mishahara midogo kwa elimu ya msing au uchumi gani
  6. Van dick

    Wosia wa Nyerere kwa mtu anaetaka kuingia Ikulu

    Kwani kidogo mm c. Mjinga kiasi gani na sisahau mapema kiasi hicho ka kichwa cha mwendawazimu yaan vjana tunakuwa kama mwendo wa kuku aliyekatwa shingo nakuachwA road!!?? Mboe na Mbatia na Watu weng wa kaskazni wakiongozwa na Mboe iko wazi wanataka kutimiza dhamira za mioyo yao tu kwamba mtu wa...
  7. Van dick

    Wosia wa Nyerere kwa mtu anaetaka kuingia Ikulu

    Lowassa Fisi wa Tanzania wenzangu madaraka bila mipaka yanalevya chapachapa iko wazi kabisa. Mm ni kjana mwenzenu ninayependa sana madiliko lkn kwa Lowassa Fisi bado bado sana tungesubiri kina Mnyika wasogee sogee huu ulikuwa mwaka wa msaliti Zzitto CDM
  8. Van dick

    Njia itakayotumika kuiba kura baada ya njia ya kuongeza kura hewa kugundulika

    na wajue mkurugenzi wa uchaguzi ni chaguo la rais mkeshe kama nyoka kazi bure
  9. Van dick

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Yesu ni Bwana tukutane October
  10. Van dick

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Lowassa Fisi Lipumba Prof Pumba mnafiki CCM bado Imara japo pressure so much Ukawa kaz kwenu vjana wapenda mageuz nyuma yenu Wasomi nusu Ukawa nusu CCM Wafanya kaz hawatabiriki Wakukima wana ajenda za siri Majesh tulinde mipaka na amani Mungu haki Sawa kwa wote MAGUFULI rais Wazir mkuu Lukuvi...
  11. Van dick

    Hii nchi bwana kila kitu usanii, eti leo Slaa, Rostam, Mengi na Lowassa lugha moja

    Hii post alipost Jk Nyerere nn maana ni ya July lkn ndo yanayojr right now
  12. Van dick

    Wamiliki wa magari wazidi kuumizwa

    Jaman mwaka huu ndo nimenunua kagar changu wkt wenzangu longtime wanamliki leo 18%
  13. Van dick

    ITV: Pilau TV Show

    Mabwege nao??
  14. Van dick

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Lowassa Fisi
Back
Top Bottom