Recent content by Valid_Options

  1. Valid_Options

    Dr. Slaa ameamua kurudi kufanya kazi hii...

    Kuna Rais jamani na si mtu akiance kuna shida gani tena kwenye hafla au party mbona Zuma hamumsemi
  2. Valid_Options

    Dr. Slaa ameamua kurudi kufanya kazi hii...

    Weka picha hizo Rev. acha uoga
  3. Valid_Options

    Dr. Slaa ameamua kurudi kufanya kazi hii...

    hapa anamwambia shehe mkuu mahakama ya kadhi inakuja mwakani usijali
  4. Valid_Options

    Kesi ya rada kuunguruma kesho.............

    Hii ndio nchi ya wajinga wanaodanganyika bila kuchukua hatua yoyote sasa deali kama hizi Takukuru walisafisha chenge mapemaaaa
  5. Valid_Options

    Dr. Slaa ameamua kurudi kufanya kazi hii...

    Hii ni baada ya kushindwa urais ameamua kurudi zake kundini...
  6. Valid_Options

    Huyu Jane Shirima wa TBC vipi?

    Wewe unategemea nini toka kwa lady anayepaka paka rangi nywele zake na mlevi wa pombe na sigawa wa kupindukia pia waheshimiwa wanapumzika kama hawna akili nzuri siwezi shangaa akiwa DC
  7. Valid_Options

    Mapendekezo ya muundo wa baraza la mawaziri - 2010-2015

    January Makamba,Meghji, Chenge, Rostam na Lowassa lazima ndani
  8. Valid_Options

    Who are these Bongo Icons???

    Huyo wa kulia nadhani anafanana na huyu mheshimiwa mbunge wa viti maalumu au nimekosea????????
  9. Valid_Options

    Ubalizo wa Marekani watoa msaada wa magari JWTZ

    COL Kent Kester, the Commander of the Walter Reed Army Institute of Research (WRAIR), handing over a vehicle to the Tanzania Peoples Defence Force (TPDF) Chief of Medical Services, Major General YM Kohi on November 16, 2010. WRAIR is a component of the U.S. Department of Defense which...
  10. Valid_Options

    Dodoma: Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete kuzindua Bunge la 10, Nov 2010

    Hivi kwa wabunge wa CHADEMA kutoka wakati Rais ameingia na kuanza kuhutubia sheria inasemaje na je wanaweza kuadhibiwa?
  11. Valid_Options

    Obama Photoshopped or Drawn as Other Iconic People

    Zimesimama kinoma si mchezo
  12. Valid_Options

    Ahmed Khalfani Ghailani aepukana na tuhuma zote dhidi yake isipokua moja!

    Huyu dogo wanamuonea sidhani kama alihusika na ile milipuko ya Nairobi na Dar
  13. Valid_Options

    PICHA toka viota vywa burudani

    Duh mkuu huwa unazitoa wapi hizi mie nimezinguka na hizi mbili, ya kuu hicho kikuku na ya chini hiyo shanga ya cheni
  14. Valid_Options

    Ahmed Khalfani Ghailani aepukana na tuhuma zote dhidi yake isipokua moja!

    Mr Ghailani was captured in 2004 in Pakistan The first Guantanamo detainee tried in a US civilian court has been found not guilty of all but one of 286 terror charges over the 1998 bombings of US embassies in Africa. Tanzanian Ahmed Ghailani, 36, was found guilty of conspiracy to damage or...
  15. Valid_Options

    Nisaidieni niache kucheza kamari - Sports betting

    Mkuu pamoja na machungu ya kuliwa kila kukicha umenichekesha sana nitajaribu kumuona Sheikh Yahya nipe muongozo wa kuwin otherwise i will call it a quit
Back
Top Bottom