Recent content by valet de chambre

  1. valet de chambre

    JamiiForums Tanzania Tayari ameshanyang'anywa diplomatic passport, simu zake zote, na sasa haijulikani alipo.

    Kwa hiyo sasa tuna "Abood Jumbe" wa 2026......
  2. valet de chambre

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

    Mkuu hii barua mbona fonts ni tofauti? Is it
  3. valet de chambre

    JamiiForums Tanzania Neymar Jr atangaza kustaafu kuichezea Brazil baada ya kuondoshwa Kombe la Dunia na Norway

    Exactly Jrn. Amechukua buree nafasi ya Joao Pedro. Sasa hivi yuko zake Ibiza anachekea choooni
  4. valet de chambre

    JamiiForums Tanzania FiFA wafuta red card baada ya Simu ya Trump

    Naomba marekani atolewe na ubelgili. Hii rushwa ya wazi kabisa
  5. valet de chambre

    JamiiForums Tanzania Mbunge Dkt. Lugomela: Bungeni Tunakula Msoto, Nashindwa Hata Kulipa Ada za Watoto, ukipata Uspika au Kamati mambo yako mazuri

    Mkuu, mshaharq wa mbunge ni mil 18. Hao watoto wanasoma wqpi, Oxford...
  6. valet de chambre

    JamiiForums Tanzania Walio karibu na Heche mlindeni sana

    Naona vituo vya mwendokas I wamemwagwa polisi wa kutosha
  7. valet de chambre

    JamiiForums Tanzania Waziri Katambi: Wamiliki wa Hoteli, AirBnB, Guest Houses na Lodge nchini wasajili wageni wote kwa kutumia kitambulisho cha NIDA

    mkuu nami nimwaza hivyo hivyo. sisi wazeee wa shoti itakuwake na mara nyingi huwa hatuandiki kitabnuni. duuu.
  8. valet de chambre

    JamiiForums Tanzania Nawaunga mkono wazanzibar kuwafurusha watanganyika kutoka Zanzibar

    Mkuu naona umechafukwaaa
  9. valet de chambre

    JamiiForums Tanzania Kwanini mume wangu hawapendi NDUGU ZANGU?

    Hiyo inaitwa xenophobia
  10. valet de chambre

    JamiiForums Tanzania Serengeti Boys kufungwa baada ya Siasa na Presha kuingizwa!

    Nimeiona muda huu TEAM GUNDU idiot yametua . Yaani wamewatia gundu madogo
  11. valet de chambre

    JamiiForums Tanzania Daaaa! Nimekumbuka viburi vya Job Ndugai na Hayati Magufuli dhidi ya upinzani hasa CHADEMA

    Nikikumbuka kiburi cha Nebuchadnezar the king of babylon......
Back
Top Bottom