Recent content by Valence Kyoma

  1. V

    JamiiForums Tanzania Ukipata kazi inayokulipa zaidi yetu utaacha kazi hapa?: Unajibu vipi swali hili kwenye Interview?

    Inategemea maana unaweza ukajibu hapana af ukakosa kazi pia inategemea utaitetea vp hoja yako
  2. V

    JamiiForums Tanzania Kati ya Kipotoshi, Jol Master, Eliud, Ndaro, Laugh on Leonardo na TX Dullah, unampa hela yako nani kwenye Comedy Show?

    Jol master anatafuta nn hapo lakini he he he he he
  3. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto adai kama angetumia Ndege za KQ kwenda Marekani, gharama zingekuwa kubwa zaidi

    Alienda kufanya nn kwani?
  4. V

    JamiiForums Tanzania KWELI Msongo wa Mawazo (Stress) husababisha mtu kula sana na hatimaye kuongezeka uzito

    Wanazungumzia stress gani hawa jamaa? Unaijua stress au unaisikia? Unaletewa msosi unauona kama mawe! It depends na mtu labda
  5. V

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Rais Samia, Watumishi Wastaafu wa Jeshi tunaomba utusaidie kupata stahiki zetu, tunateseka

    Hii siyo kwao tu nadhani imeibuka kwa kila mstaafu,,,, kuna mzee wangu nmoja juzikati kalalamika sana anasema wameambiwa hakuna kiinua mgongo ni maelekezo toka juu
  6. V

    JamiiForums Tanzania Nipo ugenini, wanapika chakula kidogo mno

    🤣🤣🤣🤣🤣
  7. V

    JamiiForums Tanzania Nipo ugenini, wanapika chakula kidogo mno

    Natamani kucheka lkn nikikumbuka nilipo hapa ha ha ha ha ni balaaa itoshe kusema pole sana mwamba angalia mazingira rafiki kwako!
Back
Top Bottom