Recent content by vagarant tz

  1. vagarant tz

    JamiiForums Tanzania Dalili kuu zinazoonyesha upo na mwanamke asiye sahihi!

    Mshirikina ndumo hagati kabisaaa
  2. vagarant tz

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Blacklist
  3. vagarant tz

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wawili wa Rais Magufuli watajwa vyeti bandia

    Sheria ni msumeno inafahamika[emoji1][emoji2]
  4. vagarant tz

    JamiiForums Tanzania Wallets wallets wallets

    kias gani wallet za kiume
  5. vagarant tz

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA Joseph Mbilinyi, Kubenea na James Millya wasimamishwa kuhudhuria vikao vya Bunge

    ikiwa imethibitika anastahili adhabu hilo lipo wazi tumelipokea
  6. vagarant tz

    JamiiForums Tanzania Clouds FM kuwaita wazanzibari mashoga ni sawa kweli??

    mwiba unapo ingilia ndio unapotokea clods mpoo
  7. vagarant tz

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Kukimbia bunge hakusaidii

    hayo ni mawazo yake yeye kama dr slaa
  8. vagarant tz

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Watangazaji wa kike TBC wagoma baada ya kutakiwa kuvua Hijabu zao wakati wa kutangaza

    siku zote ipo hivyo kisa waislam haya itafika mwisho
  9. vagarant tz

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Watangazaji wa kike TBC wagoma baada ya kutakiwa kuvua Hijabu zao wakati wa kutangaza

    wangeangalia mambo ya msingi kupitia hilo shirika lao lakin hayo ya mavazi ya stara wangeachana nalo
  10. vagarant tz

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Watangazaji wa kike TBC wagoma baada ya kutakiwa kuvua Hijabu zao wakati wa kutangaza

    kwa akili za kawaida mtu akivaa hijab halafu akawa anasoma taarifa ya habari au kipindi kingine chochote kwwnye television unadhani hyo taarifa haitatazamwa na watazamaji au hicho kipindi hakitatazamwa na watazamaji ?
  11. vagarant tz

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Watangazaji wa kike TBC wagoma baada ya kutakiwa kuvua Hijabu zao wakati wa kutangaza

    uelewa ni kitu muhim kwetu wanaadam jaribu kuelewa mavazi sio dini sawa mkuu mbona pope anavaa kanzu kwani ni muislam elewa mavazi tena ya stara
  12. vagarant tz

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Watangazaji wa kike TBC wagoma baada ya kutakiwa kuvua Hijabu zao wakati wa kutangaza

    kwani hijabu ni vazi la kidin au vazi la stara ?ikiwa ni vazi la kidin ni mtazamo wa mtu na uelewa wa mtu ukweli hijab ni vazi la stara tena kwa mwanamke tbc waangalie upya wasikurupuke mbona huko kunapotungw a sheria wabunge wengi wa kike wanajistiri kw a mavazi hayo
  13. vagarant tz

    JamiiForums Tanzania Siku ya kula chips mayai

    clouds kwa kweli ubunifu huu hata mimi cjauelewa maana ki afya chips yai c nzuri
Back
Top Bottom