Clouds FM kuwaita wazanzibari mashoga ni sawa kweli??

Clouds FM kuwaita wazanzibari mashoga ni sawa kweli??

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,656
Reaction score
37,821
Wanandugu nimepokea hii msg imenishtua sana kutoka kipindi cha jahazi kupitia Arnold Kayanda, msikilize sasa anaelezea clouds fm

""kwetu sie wazanzibar ushoga sio tatizo ati(usipaniki hii sentensi haijakamilika ) sikiliza jahazi tuimalizie yalllahh? Kweli ndugu yetu ni muungwana kweli kuwaita wenzetu majina haya? Tunaamsikiliza sheni anapokataa kamwe aliotaruhusiwa Zanzibar.
 
nani mwenye tatizo hapo..Rais wao si ndo kasema!
 
hata hao watangazaji wa cloudz mbona wenyewe wote mashoga!!! hujui hilo?
 
analipizia sugu alipowaambia ni radio ya Mashoga
 
Iko siku watajuza kwa uropokaji wao watafikiri uandaaji wa bday utawabeba ila atshinwa na watajuta na kusaga meno
 
walikuwa wanasema neno shoga kwa zanzibar siyo baya ni Marafiki wawili wa kike ambao hawana mahusiano ya kimapenzi ila watu wanalitumia vibaya kumaanisha wanaume wapenzi AKA Was...e.
wanaume nao huitana swaiba. amesema rais wao wa zanzibar. haieleweki hawa wanaume wapenzi waliwezaje kuitwa Mashoga.
 
Shoga ni neno lililo pata maan zaidi kwa miaka ya karibuni ilikupunguz amakali ya neno halisi lijulikanalo kama Ms*nge. Neno hili limekua marufu zaidi baada ya hisi ziku za karibuku kuweza ongelewa zaidi kwnye vyombo vya haari, hizi ni maana tofauti za neno Shoga .

Shoga = Urafiki kati ya watu wawili wenye jinsia ya kike (Maana halisia).

Shoga = Wanaume aliye na urafiki na mwanake,uhusiano wa kirafiki zaidi ya uhusiano wa mapenzi,shurti mwanaume huyo awe ni ms*nge ambaye hawezi kuwa na hisia zozote za kingono kwa mwanamke ,kiasi cha mwanamke akiwa nayo anajiona yuko na mwanamke mwenzake na kuweza muita huyu ni shoga yangu. Mwanume huyo lazima awe anapenda mambo ya kike, katika uvaaji, ujirembaji, uongeaji ,utembeaji na hulka zote za kike.

Shoga = Mwanume yeyote aliye ms*nge.(kwa siku hizi zaidi)
 
Kama nan??
1467213846198.jpg
 
Yule shoga aliehojiwa clouds amesema ametokea musoma ambapo ushoga sio kawaida kama mikoa ya pwani mfano Tanga na Zanzibar na amesema wanajiuzaga ila kipindi hiki cha Ramadan hamna soko kabisa.......... Mteule uwe macho.
 
Back
Top Bottom