Recent content by vacyy

  1. vacyy

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu (2022) kutakuwa na viwavi jeshi wengi

    Suluhisho hapo ni Molasis tu.
  2. vacyy

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kozi zinazotolewa na Alison Online

    Ndugu wanajamvi naombeni mwenye uelewa wa kozi mbalimbali ngazi ya certificate na Diploma zinazotolewa na Alison Online je cheti chake kinatambulika Duniani kwenye ajira au kujiendeleza?
  3. vacyy

    JamiiForums Tanzania bwana kashikwa na mkewe

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  4. vacyy

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa gharama za OPEN

    Degree, certificate, Diploma ?
  5. vacyy

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa gharama za OPEN

    Ahsante kaka
  6. vacyy

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa gharama za OPEN

    Kaka nieleweshe around unazungumzia term au ?
  7. vacyy

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha nyanya msimu wa 2021/2022

    Sawa[emoji120]
  8. vacyy

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha nyanya msimu wa 2021/2022

    Miche 700 zinakaa kwenye ekari 1 au nusu ekari naomba ufafanuz
  9. vacyy

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa nyumba za kuficha paa/contemporary/ hidden roof

    Shukran sana
  10. vacyy

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa nyumba za kuficha paa/contemporary/ hidden roof

    Kaka hebu nieleweshe wakati naanza ujenzi sikuwaza ujenzi wa namna hii lakini nyumba imefika saiz ya lenta inawezekana nisiezeke bâti?
  11. vacyy

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Jisomee vitabu vya Kiswahili bure ndani ya App hii?

    Ahsante.
  12. vacyy

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Jisomee vitabu vya Kiswahili bure ndani ya App hii?

    Mbona sijaona App ndugu?
  13. vacyy

    JamiiForums Tanzania Nyaraka muhimu pindi unapotaka kusajiliwa kama mlipa kodi TRA (TIN application)

    Mkuu nataka kujua unapozungumza malipo ya ofisi je ofisi ni kwangu sijakodi?
  14. vacyy

    JamiiForums Tanzania Ni biashara gani unaweza kufanya kwa kutumia bodaboda

    Uza maziwa nyumba kwa nyumba kupitia bodaboda
Back
Top Bottom