Ni biashara gani unaweza kufanya kwa kutumia bodaboda

Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,164
2,000
Salaam Sana,

Nimebahatika kupata pikipiki mbali ya kuwa inasaidia familia ikiwemo kufata majani ya ngombe. ila ningependa kuliko ipaki kijiweni niifanyie biashara.

Najua humu mna wajuzi wengi naombeni mawazo yenu biashara nayoweza kufanya kwa kutumia usafri wa bodaboda.

Nipo Dar
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
16,784
2,000
Salaam Sana,
Nimebahatika kupata pikipiki mbali ya kuwa inasaidia familia ikiwemo kufaata majani ya ngombe. ila ningependa kuliko ipaki kijuweni niifanyie biashara .
Najua humu mna wajuzi wengi naombeni mawazo wenu biashara nayoweza kufanya kwa kutumia usafri wa bodaboda
Nipo dar
Delivery
 
Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
9,232
2,000
Nimebahatika kupata pikipiki mbali ya kuwa inasaidia familia ikiwemo kufaata majani ya ngombe. ila ningependa kuliko ipaki kijuweni niifanyie biashara .

Fanya hivi
- Fika kwa muuza mitungi ya gesi, ongea naye, ili uwe business partener wake, atakulipa kidogo kwa kila mteja, piga picha za kutosha hiyo mitungi ya gesi.

- Weka tangazo la kusambazia mitungi ya gesi kwa wakazi wa maeneo yako, na ya jirani, weka namba ya simu kwamba mtu akiishiwa gesi au akitaka kubadili mtungi basi akupigie.

- Waweza kujitangaza kupitia whatsapp groups, instagram hata hapa JF.

Picha
1603353623747.png
 
Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,164
2,000
Kwa kuwa Nina ngombe nimeanza nayo kwa kusombelea majani na Hilo wazo la kusambaza maziwa majumbani nalifanyia kazi very soon
IMG_20201024_113037_1.jpg
 
Gnicx_33

Member
Mar 12, 2019
47
125
Fanya hivi
- Fika kwa muuza mitungi ya gesi, ongea naye, ili uwe business partener wake, atakulipa kidogo kwa kila mteja, piga picha za kutosha hiyo mitungi ya gesi.

- Weka tangazo la kusambazia mitungi ya gesi kwa wakazi wa maeneo yako, na ya jirani, weka namba ya simu kwamba mtu akiishiwa gesi au akitaka kubadili mtungi basi akupigie.

- Waweza kujitangaza kupitia whatsapp groups, instagram hata hapa JF.

Picha
View attachment 1608201
Fact
 
da irritant boy

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
354
500
Fanya hivi
- Fika kwa muuza mitungi ya gesi, ongea naye, ili uwe business partener wake, atakulipa kidogo kwa kila mteja, piga picha za kutosha hiyo mitungi ya gesi.

- Weka tangazo la kusambazia mitungi ya gesi kwa wakazi wa maeneo yako, na ya jirani, weka namba ya simu kwamba mtu akiishiwa gesi au akitaka kubadili mtungi basi akupigie.

- Waweza kujitangaza kupitia whatsapp groups, instagram hata hapa JF.

Picha
View attachment 1608201
Akili kubwa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom