Recent content by V2C

  1. V2C

    Post za ualimu wa stashahada na cheti lini?

    Ndio kwanza matokeo yenu yametoka. Pia wa Shahada hata matokeo yao hayajatoka vyuoni, pia wengine wafanye Sup kisha Graduation mwezi wa 11. HIVYO TEGEMEA KUANZIA JANUARY mwakani.
  2. V2C

    Mishahara juu

    Basic ya D1 ni 639,000. Take home nimeona 517,000/=
  3. V2C

    Mishahara mipya ya walimu vipi?

    Subiri mwisho wa mwezi huu, UKWELI UTAUJUA MWENYEWE. Utakachoambiwa hapa ni tetesi/fununu tu.
  4. V2C

    Mhe. John Komba anauza shule yake ya Bakili Muluzi Secondary School

    Hafai hata huo ubunge sijui alitumia njia gani kuupata.
  5. V2C

    Mali za Kapteni Komba kupigwa mnada na CRDB

    Afilisiwe tu. KWANI hata jimboni kwake hakuna alichofanya.
  6. V2C

    Ulizia hapa kuhusu Shule uliyo chaguliwa 2014/2015

    Sasa kuna O-level imerudishwa tena. japo ilifutwa. Ila ni shule nzuri yenye kila kitu. Na walimu ni wengi sana sasa.
  7. V2C

    Walimu wapya waliokosa mishahara mwezi aprili kupewa dabo mwezi huu

    Nashukuru kwa kupata sitahiki zetu walimu bila bughuza. Mishahara yote tumepewa. JAMANI TUSIKARIRI, Eti government works on papers, kwani Haijui kama kuwa kundi fulani linadai au litadai. Kwanin kuna local government?.
  8. V2C

    Must read: Ufisadi na Uchafu wa kapt. John Komba kwa wapiga kura wake

    Binafsi simpendi huyu mtu ni laghai wa maendeleo wilayani nyasa. Yaani anajiita YESU WA WANYASA. Kwakweli hafai kuwa kioo cha jamii, yuko radhi apite vijiwe agawe laki 5 vijana wavuta bangi wagawane kuliko kuchangia hela ya dawa hospitalini. Yuko tayari ajenge pub na bar za vichochoroni kuliko...
  9. V2C

    Walimu wapya waliokosa mishahara mwezi aprili kupewa dabo mwezi huu

    Hela ipo kaka. Halafu walimu wazoefu wanapinga sana mapinduzi ya kimfumo mpya wa malipo, na muda wote wao ni kukatisha tamaa. Mara watakwambia sisi zamani tulikaa miezi 6 bila mshahara, mara hiki na kile. Sasa hata waziri Kawambwa kwamba hadi 31/6/2014 serikali haitakuwa na deni toka kwa walimu...
  10. V2C

    NYASA FOUNDATION ni mfuko hewa unaotumiwa kuigandamiza Wilaya ya Nyasa

    Imeripotiwa kwamba Mbunge wa Nyasa, Mh.John Komba anakopa hela katika mfuko wa jamii wa LAPF kwaajili ya NYASA FOUNDATION. Lakini cha ajabu hakuna ofisi ya Nyasa Foundation, viongozi wake hawajulikani. Wanachangisha fedha nyingi halafu maendeleo Nyasa ni duni. JE WILAYA YA NYASA NI KISIMA...
  11. V2C

    Walimu wapya waliokosa mishahara mwezi aprili kupewa dabo mwezi huu

    DEO katuambia, pia Katibu wa TSD kasema kwani Fedha zote zimetumwa kwa kila Halmashauri.
  12. V2C

    Walimu wapya waliokosa mishahara mwezi aprili kupewa dabo mwezi huu

    Nimepata habari za kuaminika toka kwa DEO mmoja mkoani RUVUMA kwamba Walimu wapya wote waliokosa Mshahara mwezi Aprili, watapewa Dabo mwezi huu yaani Mshahara wa mwezi Aprili na Mei. Vipi walimu wenzangu wa Halmashauri nyingine mnataharifa zozote juu ya hili?
  13. V2C

    Wilaya ya Nyasa

    Baki Nyasa ndugu, kwani haina matatizo ya ulipaji fedha. Si umeona mmepewa wote mishahara na hela za kujikimu siku 7 siku mliyofika tu. Hakika hata madaraja yatapanda kwa uharaka.
  14. V2C

    Kwa waliosoma Kigonsera Ruvuma

    Jamani mnamkumbuka Bwana Misosi - Vitus!
Back
Top Bottom