Serikali ingeangalia utaratibu mzuri wa kuendelea na zoezi hili la uhakiki wa wafanyakazi hewa huku wakiendelea na taratibu za kuajiri, mtaani kumekuwa kugumu mno tunaishi bila ya matumaini. Tunaomba serikali yetu sikivu itusikie pia
katika hili.
Kuzimu kuna moto pia na si makazi ya Shetani na mapepo tu bali ni sehemu ambayo roho zote zilizokufa katika dhambi hufikia. Hapa ni sehemu ya mateso Shetani huzitesa roho zote zilizokufa katika dhambi kabla haijaja ile siku ya hukumu aliyoiweka Mungu. Katika siku hiyo Shetani na pepo wote pamoja...
Pole sana asee, elimu yako si ndogo usijishushe ila nakushauri tafuta kanisa la watu walio okoka jirani yako watakushauri na watakusaidia kama ndugu mmoja, Mungu aliyekuumba anatambua shida zako na atakusaidia Msaada wa kibinaadamu una kikomo ila utatauzi wa Mungu ni zaidi ya fahamu za binaadamu.
Kuna huyu mtu muwe makini naye ni tapeli mkubwa alishanitumia meseji za kitapeli mara mbili nilipoomba kazi kupitia zoomtanzania, na mwisho tarehe 27/6/2016 alinitumia meseji iliyosomeka hivi "Hello, am Mr. Kauga from Norman Data Ltd, tupo kwenye kikao tunapitia cv za ku interview forData Entry...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.