Mr. Marangu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 1,574
- 1,558
Wacha tupeane moyo
Hakuna jipyaJamani vipi hamna chochote?
MARCH 2019december
MAY 2019November
hawa watu hawafai serikali haina hata huruma ina roho mbaya kama nn utamwajirije mtu.halafu umrudishe nyumbani.au usimulipeInakera sana jamani sasahivi naona wameshaanza kuapprove but hawatoi check no nashindwa hata kuwaelewa
Dada yangu lini wameanza kuapprove??.,,maana mm nina cheque namba tyri ila ipo terminated kwahyo hadi mnasitisha mambo haya ilikuwa imebaki kuwa approved ili irejee katika systemInakera sana jamani sasahivi naona wameshaanza kuapprove but hawatoi check no nashindwa hata kuwaelewa
mimi hr wangu kanichekia ijumaa status inaonesha nipo approved ila sasa check no ndio badoDada yangu lini wameanza kuapprove??.,,maana mm nina cheque namba tyri ila ipo terminated kwahyo hadi mnasitisha mambo haya ilikuwa imebaki kuwa approved ili irejee katika system
acha tu hii kitu inafrustrate sana wengine hatukurudishwa yaani tabu kwelihawa watu hawafai serikali haina hata huruma ina roho mbaya kama nn utamwajirije mtu.halafu umrudishe nyumbani.au usimulipe
Acha zakoBado tuko kwenye mchakato
Kuweni na subira mambo mazuri hayataki harakaAcha zako