kwenye title heading ajakosea, ni typing erroryaani nilivyoona ulivyoandika "incrament " halafu wewe jina lako ni Dr.... nikajua labda kuna ugonjwa unaitwa hivyo kumbe ulimaanisha "increment"
Ukipata muda utaisoma tena hiyo title labda kwa sasa umebanana na kazi nyingi bukoba04kwenye title heading ajakosea, ni typing error
Fanya Kazi tu kijana, hakuna nyongeza ya mshahara mwaka huu!!naona mpo kukosoa kuliko kuelewa maana/ninacho maanisha nawatakia siku njema.
ajakosea [emoji735]kwenye title heading ajakosea, ni typing error
kwahiyo wewe unaona hiyo title ipo correct?kwenye title heading ajakosea, ni typing error