Recent content by uyui kwetu

  1. uyui kwetu

    JamiiForums Tanzania Makatibu wapya CCM: Waislam wako 21, Wakristo 11. Hali inatisha sanaaaaa!

    Maendeleo gani hayo ya mwaipopo
  2. uyui kwetu

    JamiiForums Tanzania Wakenya wameweza vipi kuwa na lipa namba mpaka kwa boda boda na wauza mboga?

    Malipo ya lipa namba serikali itakuwa inaongeza kila mwezi kama kodi ya jengo tu kila mwaka wanaongeza wanadai gharama zinaongezeka nashindwa kuelewa gharama gani kwenye kodi ya majengo na sasa hv wamekuwa kiburi wanaongeza kimya kimya
  3. uyui kwetu

    JamiiForums Tanzania ANGEKUA NDUGU KAKA, DADA AU BABA YAKO UNGEJISIKIAJE?

    Unataka tusikitike
  4. uyui kwetu

    JamiiForums Tanzania Demu mwenye makalio makubwa akifa mwili wake huoza haraka sana.

    Sasa asipooza haraka unapata faida gani ww
  5. uyui kwetu

    JamiiForums Tanzania CCM yatikisa Iringa, maelfu wajitokeza, Watanzania bado wanaimani kubwa na CCM

    Sasa watu wanafuata nini hapo
  6. uyui kwetu

    JamiiForums Tanzania AIBU KUBWA SANA: Hawa ndio Wakurugenzi wakubwa wa Makampuni ya mitandao ya simu Afrika Ya Mashariki. Hakuna Mtanzania hata mmoja

    Hao watanzania wamefanyia nini nchi zaid ya kuifilisi nakutaka kusifiwa
  7. uyui kwetu

    JamiiForums Tanzania Tuliozaa nje ya ndoa tukutane hapa, tujadili changamoto tunazokutana nazo

    Huko ndani nafasi yangu haipo nina mmoja tu
  8. uyui kwetu

    JamiiForums Tanzania Kwenye ajali ya Kariakoo, mmiliki wa jengo awajibishwe ili iwe mfano

    Wanaopaswa kuwajibishwa ni mamlaka zinazotoa vibali vya ujenzi osha nk hao wapo tu asilimia nyingi hawafanyi kazi zao ipasavyo ukitaka kujua hayo ingia kwenye site yoyote uone uozo unaofanyika Kariakoo ndio zaidi watu wanakufa sana kimya kimya bila kujua haki zao na
  9. uyui kwetu

    JamiiForums Tanzania Nimepata kazi ya millioni 10, nifanyeje kuutoroka umasikini?

    Jibu lako halishawishi kwasababu halina uhalisia zaidi ya uji"nga ulioandika hausiani chochote wala kusaidia kwenye mada, hujambo viherehere km ww mnavyofikiri ni rahisi tu kumshawishi mtu ukidhani kila mtu ni mwepesi, wafundishe wenzako kwanza wapo kibao wanafuga nguruwe na kula
  10. uyui kwetu

    JamiiForums Tanzania Nimepata kazi ya millioni 10, nifanyeje kuutoroka umasikini?

    Toa faida za kuwa Muislam km ulivyotoa ushauri kuhusu matumizi ya pesa, sio kutoka nje ya mada husika
  11. uyui kwetu

    JamiiForums Tanzania Nimepata kazi ya millioni 10, nifanyeje kuutoroka umasikini?

    Kuna faida gani
  12. uyui kwetu

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Mtoto wa nje hapaswi Kurithi Mali za Baba yake?

    Kuna sheria zao na zangu tusiingiliane
Back
Top Bottom