Mimi siamini kama Waziri amesema hayo. Kama bosi kaagiza ni jukumu lake kukaa na mwezake wa UTUMISHI ili waangalie namna ya kuadjust wagebill. Hiyo inawezekana kwa kuendelea kusitisha/kupunguza ajira mpya katika sekta nyingine. Aidha waangalie namna ya kurekebisha nyongeza ya mishahara na...
Huwezi linganisha mishahara ya nchi tofauti halafu ukatoa uamuzi. Ni muhimu kuangalia Parchasing Power Parity - Yaani uwezo wa fedha hiyo kununua bidhaa na huduma. Tunaweza kupata mishahara sawa i.e $500 ambapo mimi naweza kupanga chumba kwa $10 wakati wengine wanapanga kwa $100 kwa mwezi...
Mkuu akisema kuwa fedha zimefichwa atakuwa ana uhakika.BOT wanajua hesabu za fedha walizotoa ziende kwenye mzunguko na zinatosha kulingana na shughuli za kiuchumi. Sasa kama fedha zinazozunguka ni kidogo ina maana zimewekwa kwenye magodoro. Hizo za kwenye simu na mabenki yote zinajulikana pia...
Hii mbegu inayopandwa kwenye jamii kuhusu ukabila na ukanda itatuharibu jamani!! mwanzoni nilifikiri ni utani lakini naona inazidi kumbe sio utani na inatoka moyoni!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.