Recent content by uwonde

  1. U

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya kupendwa na kuonyeshwa mapenzi

    Iko vizur kk hao waonyesha mapenzi ndio wako wengi sana
  2. U

    JamiiForums Tanzania Madhara Ya Kuvaa "Boxer" Au "Chupi" Kwa Wanaume

    nimeipenda hiyo..ikipunga upepo ndio inapata mda wa kuzalisha manii kwasababu ili manii zizalishwe inahitaji temp 20 nyuzi.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Jana nilitangaza rasmi nia yangu ya kugombea ubunge jimbo la Singida Mjini

    ongera sana mtia nia najua unahitaji msaada wa kimawazo vumilia mitazamo tofauti kawaida.
  4. U

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: ISIL wanapanga kuishambulia Tanzania

    na huko yemen,iraq na libya waliko waislam weng zaid chanzo cha ugonvi nn na kuuwana kama wanyama? mwembebasha
  5. U

    JamiiForums Tanzania Nimemkosea rafiki yangu sijui nitamuombaje msamaha

    ulishindwaje kujilekebisha mara zote hz ndugu bila shaka kakuchoka..sasa unatakiwa utumie long proces kwanza itakubidi uwe na subra na utumie busara yko na wengne wenyebusara ila usiwe mchakato wa haraka haraka..na ukiona bdo hataki bs juo huwa ndio ulikuwa mwisho coz mwisho jambo mara nying...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Filamu za Ponografia siyo kosa!

    mtoa mada anamapungufu ya kuelewa...hajasema hvyo km anayo video atume
  7. U

    JamiiForums Tanzania Mbowe ana kosa kubwa kutokuwepo Bungeni leo tarehe 1 Aprili, 2015

    kambi ya upinzani wanafanya kwa kazi umoja wale walio kuwepo ndio wamewawakilisha wengine..kwa taaluma zao
  8. U

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atinga Bungeni na kuamsha ari ya Bunge

    lisu jembe
  9. U

    JamiiForums Tanzania Lipumba Amtembelea Askofu Gwajima

    ongera prof
  10. U

    JamiiForums Tanzania GE2015 Licha ya kukubalika, Jina la Lowassa halitafika hata CC!

    duu huyu mtu anaoneka ni hatar sana sasa wasipo mpitisha kweli sijui matokeo yake yatakuaje ndani vya chama sababu kesha kigawa chama
Back
Top Bottom