Heart Wood.
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 990
- 1,190
Wakuu,baada ya Kum-miss Tundu Lissu kwa siku kadhaa bungeni,jioni hii amerejea na kuamusha ari ya Bunge.Mh.Lissu ameongeza nguvu na kuamsha ari ambayo kwa wingi wa wabunge wa CCM ilipelekea wabunge makini kutoka UKAWA kama kuelemewa wakati Bunge likiwa limekaa kama kamati kupitisha mswada wa Baraza la Vijana,hakika Tundu Lissu ni Jembe.
UPDATES: 1/4/2015 . Wakuu,kama kawaida.Tundu Lissu ameanza kumuhenyesha Mwanasheria mkuu wa Serikali.Kazi kwelikweli.
UPDATES: 1/4/2015 . Wakuu,kama kawaida.Tundu Lissu ameanza kumuhenyesha Mwanasheria mkuu wa Serikali.Kazi kwelikweli.