Recent content by Uweri the second

  1. U

    Tetesi: Wazanzibari wengi wanautweza Utanzania, shida ipo wapi?

    Uarabuni hawakubaliki na huku kwetu hatuwataki basi tu.
  2. U

    Masanja Mkandamizaji: Watu ooh! Mama anasafiri sana. Ulitaka asafiri babaako?

    Dah kweli awamu ya kufeli ni ya kufeli kwenye kila jambo. Tuliokuwa luningani tulijisikia vibaya sana sasa sijui waliokuwa pale live uwanjani walikuwa na hali gani.
  3. U

    Miezi 8 bila Hayati Magufuli; Alikuwa alama, utambulisho, kielelezo na mwakilishi wa Watanzania

    Kuna wananchi 6 wameuawa kule mbogwe kwa kuvamiwa kwenye migodi yao na mbunge ametoa kilio kikubwa sana bungeni. Kwani bado rais ni JPM....
  4. U

    The Mwalimu Nyerere Memorial College kina ubora gani wandugu?

    Ndugu wanajamvi salam kwenu nyote. Jamani nina kijana wangu wa kike amemaliza four mwaka jana na kupata div 4. Katika kihangaika kutafuta pahala pa kumpeka kuna jamaa yangu kanielekeza hapo Nyerere memorial. Kweli nimeperuzi nikaona anazo sifa za kupata cource pale na nimependa aanze na basic...
  5. U

    Kigwangalla usokolokwinyo huu atauacha lini?

    Huwa nasikia aibu sana kuwa huyu ni mbunge wa jimbo langu.
  6. U

    Rais Samia Suluhu umeanza kuwa Dikteta mapema kuliko hayati John Pombe Magufuli

    Huko nyuma tulibanwa sana sasa naona na mbele tunabanwa....
  7. U

    Ni wapi katika Mkoa wa Dodoma na Wilaya zake panapoweza kulimwa alizeti kwa tija?

    Ndugu wanajamvi, Nimehamasika sana na ushauri uliotolewa hivi karibuni na mh. Waziri mkuu Majaliwa kwamba sasa ni zamu ya watanzania kutajirika kupitia zao la alizeti. Naamini huu ushauri umekuja baada ya hali ya bei ya mafuta inchini kupanda sana kwa kipindi kifupi. Mimi ninaishi Arusha...
  8. U

    Dkt. Mwele Malecela awataka wataalam kufanya kazi bila woga

    Wataalam wa bongo kibongobongo....hivi tuna wataalamu wakuweza kuwaweka jukwaa moja na wataalamu let say hata wa hapo kenya kweli...yaani ukaweka hoja mezani halafu uweke mpambano wa uchambuzi kabisa yaaani. Tuache kuzinguana bana.
  9. U

    Ajira kugawanywa bara na visiwani, nafikiri kuna tatizo

    Rais akiwa legelege kila kitu kinalegea. Hili la muungano ni mwanzo tu udini unafuata sasa hivi. Alipaswa kwenda na speed ileile ya mwendazake yeye anataka apendwe na wabongo. Yaani ataishi hapo magogoni kwa taabu sana mwisho wake ni kungatuka kabla ya wakati na atuingize kwenye maugomvi ya...
  10. U

    Wazanzibar wanaendelea kudai mamlaka kamili ya nchi yao

    Shida huyu rais wa dharura nae hajielewi anataka nini kwenye masuala mazima ya kuendesha inchi. Anadai anataka kusimamia kila kitu kwa haki. Sasa hao ndugu zake wanataka haki ya kuuvunja muungano anatakiwa kutoa msimamo mapema asifikiri urais ni kuteua mabalozi na kuuza mahind kenya tu.
  11. U

    Mkuu wa nchi kutokusafiri au kusafiri mara kwa mara

    Waajiriwa inchi hii hawafiki hata 1m kati ya 50m.
Back
Top Bottom