Chiwa
JF-Expert Member
- Apr 17, 2008
- 3,970
- 4,730
na bado! ndo kwanza maji yamezidi unga badala ya ugali inabidi tupike uji kwa maana hiyo mboga tunarudisha kwa jokofu na tukumbuke matumizi ya sukari yatatakiwa na tukitumia vibaya asubuhi kesho hatuna chai! je twaweza kusitirika kwa uji wa chumvi mchana huu ili sukari ibaka kwa kesho asubuhi vinginevyo tukubali watoto waende na njaa asubuhi wajibebe na visheti na mikono yao itumike kukinga maji bombani ili wanywe?Sekta ya elimu na Afya sio suala la Muungano ,inakuaje ajira zigawanwe