Unadhani wote wanaoweka hizo plate number unazoelezea hawajasajiliwa?
Ninavyojua kuna utaratibu maalum wa kuzisajili hizo namba na pengine malipo yake ni ya juu zaidi ya malipo ya plate number za kawaida.
Mwanamke mzinifu ni wa mwanaume mzinifu.
Na mwanaume mzinifu ni wa mwanamke mzinifu.
Case closed.
Inabidi wote m confess msameheane au achaneni kwa amani ya bwana.
Kama hajajenga kwa nini apata lawama, kwa nini haya hayakusemwa kabla? Pia mleta hoja hajaleta recommendation(s) nini kifanyike kama kweli nia yake ni kujenga na sio kulaumu.
We learn from mistakes, sheria hutungwa kutokana na udhaifu au matukio.
Huoni kuchimbua haya makaburi kunaweza kuwa na faida in future, haujalishi matikeo yatasema nini, lkn lazima kutakua na kujifinza kama hizo tume zitakua huru na zitatenda haki kwa kufanya uchuncguzi wa kina.
Kutochimbua...
Ndugu hujafanya upembuzi yakinifu au umeongozwa na hisia kutoa hitimisho.
Marais wastaafu tulionao ni wawili tu. Itakuaje Rais awasahau wananchi 50M+ na kuwakumbuka hao 2 tu? Your argument does not make sense.
'Benzi moja, nyumba 2' marais wawili iwe mjadala kweli.
Ungeongelea suala la safari...
SSH, soma na soma na urudie tena kusoma ma file na hizo CV. Slow down kumwaga wino kutia sign. Jipe.muda epuka kuchukua maamuzi ya haraka.
Sikiliza sana. Ila pata muda wa kureflect na kuchambua unayoambiwa.
Believe in vetting and due process.
Tuki assume waliochangia uzi huu ni wa Tamzania.
Ni watu 2400 kati 50,000,00+ waliochangia uzi huu. Ni asilimia ndogo.sana waliopata mafasi ya kuchamgia hivyo si vema kufunga uzi, uachwe kama kuna wachangiaji zaidi waendelee kuchangia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.