SIkuelewi na pia nadhani sitakuelewa mimi nimem QUOTE BOFLO nikimwomba yeye tuwasiliane,,,, pia nadhani BOFLO na mimi ni jinsia tofauti,,, sasa mkuu wewe HAMISI FATAKI Unaingiaje hapa ? ? ? au wapo wakina HAMISI wanawake ? ?
SIkuelewi na pia nadhani sitakuelewa mimi nimem QUOTE BOFLO nikimwomba yeye tuwasiliane,,,, pia nadhani BOFLO na mimi ni jinsia tofauti,,, sasa mkuu wewe HAMISI FATAKI Unaingiaje hapa ? ? ? au wapo wakina HAMISI wanawake ? ?
Salama wakuu.... jamani lazima kuhama ndio sikukuu or ndio kufurahi ? mimi niko kariakoo karibuni sana ndani ya mita 300 utachagua kila kitu ukipendacho chakula ? hotel ? accomodation ? vinywaji ? n.k.
Wana MMU Salama ? Ni wazi na jambo la kawaida kuwa mwanamke anatumia Pads kila wakati unapobidi.
Swali kwa wanaume je inapotokea au ikitokea unakutana na Pad iliyotumika kabla ya kutupwa ikiwa na uchafu wake UNAJISIKIAJE ? au unamkutiliza mpenzi/mke wako akiitoa huko au anapachika...
Wakuu salama ? nimekuwa nikitumia red bull taratibu hasa asubuhi ninapo amka tu kwa kuchanganya na maji baridi kiasi cha lita moja na nusu(jagi moja la mezani) + red bull 1, pol pole hatimaye sasa imekuwa mazoea, baada ya kunywa hiyo asubuhi ni kweli kabisa kutwa nzima unakuwa...
Asante sana rafiki ni yeyote yule mnaeweza kushirikiana kwa jambo lolote kwa hiari na mapenzi yenu na kunufaika wote karibu sana ndg yangu nadhani wewe waweza kuwa rafiki bora sana kwangu. KARIBU SANA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.