Recent content by Silent King

  1. Silent King

    JamiiForums Tanzania Watu Wazima, Mnaowalaumu Vijana Kwa (UTOTO)

    Nilimaanisha umeandika uzi mzuri
  2. Silent King

    JamiiForums Tanzania Watu Wazima, Mnaowalaumu Vijana Kwa (UTOTO)

    Kwanza hongera kwa mada nzuri Si sahihi kwa watu wazima kulaumu tu vijana badala ya kuwaonyesha wapi pa kuaanzia au kupitia Maana lawama bila kuonyesha makosa yao,ina maana kesho watarudia tena kufanya jambo lile lile,na hapo utawaona vijana ni wajeuri au hawajielewi kwakuwa watazidi kufanya...
  3. Silent King

    JamiiForums Tanzania Watu Wazima, Mnaowalaumu Vijana Kwa (UTOTO)

    ✍️✍️
  4. Silent King

    JamiiForums Tanzania WanaJF mara moja moja muwe vaeni uhusika wa Lucas Mwashambwa na Tlatala

    ✍️✍️
  5. Silent King

    JamiiForums Tanzania Mimi na mzee wangu hatuko sawa, na sioni dalili ya kuja kuwa sawa tena

    ✍️✍️
  6. Silent King

    JamiiForums Tanzania Mimi na mzee wangu hatuko sawa, na sioni dalili ya kuja kuwa sawa tena

    ✍️✍️
  7. Silent King

    JamiiForums Tanzania Mimi na mzee wangu hatuko sawa, na sioni dalili ya kuja kuwa sawa tena

    ✍️✍️
  8. Silent King

    JamiiForums Tanzania Kijana : Jithamini. Jiamini. Jenga thamani yako

    Na kibaya zaidi huyo boss au mdau ambaye unamsifia kwa kila jambo hata la kipuuzi anajua kabisa unamjoke Kwahiyo anakudharau na kukuona unafanya hivyo kwa ajili ya maslahi fulani
  9. Silent King

    JamiiForums Tanzania Narudi nikiwa unstoppable

    Sawa unakuwa wewe lakini mbona unakuwa tofauti na mentors wako ambao unawasoma kwenye hivyo vitabu? Je mentors wako wanafundisha kuwa na majigambo? Wanafundisha kujiona wewe ni bora kuliko wengine? Wanafundisha kupata heshima au kutambulika Kwa lazima? Listen dude, kuna msemo unasema "iache...
  10. Silent King

    JamiiForums Tanzania Namtafuta baba yangu Gervas Kalilo

    Aisee najiona mimi kabisa miaka ijayo huko mbele,nimeenda mkoa X nimekutana na kibint cha 2000 Tukapima wote tupo clean,nikamwambia mapema sipo tayar kuzaa kwasasa,nilijua sio mkaaji huo mkoa Kumbe mwenzangu anataka mtoto nami sijui,mwisho wa siku ikawa imo Na mwenyewe anasema huyo ni binti...
  11. Silent King

    JamiiForums Tanzania Namtafuta baba yangu Gervas Kalilo

    🤣🤣
  12. Silent King

    JamiiForums Tanzania Baada ya Lissu kuachiwa Huru Ijumaa tuelekezwe njia za kupita zitakazohimili Maandamano Makubwa

    Kila jambo lina mwisho wake
  13. Silent King

    JamiiForums Tanzania Narudi nikiwa unstoppable

    Sawa ni msomaji mzuri sikatai na hongera kwahilo Lakini kama hupati manufaa na kile unachokisama huoni kwamba ni kupoteza muda bure kwenye hivyo vitabu? Kwababu watu wengi sana tunasoma vitabu lakini hatukifanyii kazi kile tunacho kisoma matokeo yake tunakuwa kama wote hatuja soma...
  14. Silent King

    JamiiForums Tanzania Narudi nikiwa unstoppable

    Bwana Elevenn/de Gunner/Kanye west and so ...... Last time ulikuja baada ya kipigwa ban,ulituonyesha kitabu cha Think big,nikajua sasa mwenetu sasa umekuwa,na ukatoa speech nzur sana Kwamba umebadilika na umekuwa mtu mpya kabisa,no drama za kijinga na no upuuzi Mbona sioni ulichotuahidi hapo...
Back
Top Bottom