Recent content by Uta Uta

  1. Uta Uta

    JamiiForums Tanzania Leo tarehe 09.04.2025 Simba akimfunga Al Masry goli 3 Mods naomba nipigwe ban Miaka Mitatu

    Huyu kajichanganya kwenye maelezo ya ndani, angesimamia goli 3 ban isingemhusu
  2. Uta Uta

    JamiiForums Tanzania Vijana wataka umri wa kustaafu upunguzwe hadi miaka 50

    Hao vijana wakifika uzeeni wataomba Tena muda wa kustaafu uongezwe uwe miaka 65
  3. Uta Uta

    JamiiForums Tanzania Gen-Z hamuwezi kuelewa hivi vitu vilikuwa na maana kiasi gani

    Huu Uzi batili na unastahili kufutwa. Nimeona comments zote ila sijaiona Revola. Malegendari wanaijua nguvu ya Revola
  4. Uta Uta

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama umepanga kugombea nafasi ya uongozi 2025 hakikisha umejipanga hasa

    Mi nasubiri Tate Mkuu Aje kuthibitisha hili🤣🤣🤣🤣🤣
  5. Uta Uta

    JamiiForums Tanzania Nyinyi wezangu mkitenda dhambi huwa hamuadhibiwi? Video za Balthazar zimefanya niadhibiwe usiku kucha

    Sina hata Moja jamaa yangu, watu wachoyo kinoma
  6. Uta Uta

    JamiiForums Tanzania Nyinyi wezangu mkitenda dhambi huwa hamuadhibiwi? Video za Balthazar zimefanya niadhibiwe usiku kucha

    TUma NAMI nisafishe macho. Connection wandugu
  7. Uta Uta

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Naomba wimbo wa Hard blasters "mwokozi nitoe roho niepuke hili balaa maisha niliyachezea Leo hii nalala njaa"
  8. Uta Uta

    JamiiForums Tanzania Hongera Evelyn salt Kwa kuwa Miss JF2024: Mwanamke mwenye mvuto na ushawishi JF 2024

    Katika kura alizopata jumlisha na ya kwangu, sikuwa hewani siku kadhaa
  9. Uta Uta

    JamiiForums Tanzania Leo nawataka wauza/wavaa tisheti kali tu

    Unyama sana
  10. Uta Uta

    JamiiForums Tanzania Chaguzi si uadui tujifunze kwa wenzetu waliko busy kugawa upendo. Trump apika na kugawa chipsi mgahawani!

    Mbona Hashim Rungwe anafanya Kila mara, mambo ya kawaida hayo bongo
  11. Uta Uta

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Halali wa Mbagala wanawezaje kulipa kodi ikiwa Wamezibwa 100% na Wamachinga?

    Hamchelewi kuanzisha maandamano Kwa ajili ya wafanyabiashara wa Mbagala
Back
Top Bottom