NYOLODO
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 12,115
- 27,719
- Thread starter
- #41
Nakupa codes kuhusu Raba hii kali ya Air Max
Buku nane hiyo ongezea elfu nne agiza bapa la nyagi Kula buku 8
Shukrani 🙏🏾
Kaka naomba chimbo la magauni ya kike![]()
Nakupa codes kuhusu Raba hii kali ya Air Max
Buku nane hiyo ongezea elfu nne agiza bapa la nyagi Kula buku 8www.jamiiforums.com
[emoji91]Sikupi chimbo, nakupa maono! Nakupa code! Nakupa madini
Kama hutaki bas mzee usinichoshe, tusichoshane..
Kuna watu wanavaq brand kali sana wanapenda kung'aa. Leo natak nizingumzie code ya tisheti kali zinaitwa "Unkut" original, sio grade 2 za elf 9. Hizi unkut zimesimama, grade 1 mzee
Unalijua jengo linaitwa Miami? Mchikichi na Congo? Hapo ulizia mwamba mmoja anaitwa Mkombozi stoo. Chukua kazi kali, vaa katambe
Kalaga bahoView attachment 3131954View attachment 3131955View attachment 3131956View attachment 3131957View attachment 3131959View attachment 3131960
Huyo jamaa hanaga kazi mbovu...Unkut ni brand moja kali sana. Inatoa tisheti za kueleweka sana.. kama converse tu! Hao jamaa ni wakali sana kwenye tisheti za quality nzur.. chimboni hizi ni 17. Ukiivaa tisheti imesimama vibaya yani..
Fulana za kisukuma hizo. Wanavaa sana wasukuma na mashemeji zangu wanyamwezi.Mmh sijazielewa bado boss ebu weka nyingine..
Nataka nifike zilipo mkuuJinzi mkuu zipo kibao.. kwa nn nisikuletee ulipo? Uko mkoa gani? Jinzi ziko za 20, zipo za 22 nyingine 25 kuna kazi nyengine mpaka 35. Unataka kwemda wenyewe nikuelekeze?
Mi ni Mzigua90 wa HandeniMwanangu una nongwa kichizi.. we kabila gani nikutaftie za kikwenu za elfu 28
Huyo Nape kashakuchaji au bado?
Shukran mkuuRaha RESTAURANT mtaa wa muhonda na Congo.