Recent content by uswaswa

  1. uswaswa

    JamiiForums Tanzania *JKT yatangaza nafasi za kujiunga na mafunzo ya Jeshi

    dah hivi hilo la kuandaa nauli ni kweli nauli wanajitegemea?nakumbuka enzi zangu tulipelekwa kwa gharama zao ni tranka tu ndio tulibeba,Leo hadi shuka munabeba home?dah!pumzika kamanda wangu lut kanal mmari,sijui yupo wapi meja mzee,adjutant Lut Tesha, RSM erick mundeba, dah salaam nyingi kwa...
  2. uswaswa

    JamiiForums Tanzania Wakumbuka nini enzi za shule ya msingi?

    mi pia nakumbuka mambo mengi mengi ila kubwa zaidi kipindi hikohiko nipo primary ndipo nilipo mpenda mwanamke ambae hadi Leo anaishi moyoni mwangu(ifaamike wazi si kwamba huyo mwanamke ni mke wangu,ila ndiye hasa moyo wangu upo kwake,japo nasikitika kuwa huenda hata nikafa bila kumuona tens...
  3. uswaswa

    JamiiForums Tanzania Serikali: Ajira mpya za Serikali hazitazingatia uzoefu wa Waajiriwa

    Ajira!!!???nani wakuajiri hapa Tz??tuache kudanganyana basi.
  4. uswaswa

    JamiiForums Tanzania Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

    shukran mkuu ila duh bora nizidi kujikita kwenye kujiajiri tu kuliko kupoteza muda kwa hayo bure
  5. uswaswa

    JamiiForums Tanzania Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

    Day hatari kwa mikozi yote nilopiga +na nyongeza kibao jina langu halipo hata post moja na kwa majina mengi hivi,duh kweli bongo bila mjomba ni bure.
  6. uswaswa

    JamiiForums Tanzania Call for Interview-Tanzania Ports Authority(TPA) 22-May-2019

    Day hatari kwa mikozi yote nilopiga +na nyongeza kibao jina langu halipo hata post moja na kwa majina mengi hivi,duh kweli bongo bila mjomba ni bure.
  7. uswaswa

    JamiiForums Tanzania Membe na hili pia linakuhusu! kazi unayo

    nasikia bosi wako saivi hatamani kusikia neno koro-show,je ni kweli? twende na MEMBE.
  8. uswaswa

    JamiiForums Tanzania Mbali ya Ulaya na Marekani, kwanini hawa White people, hawapendi watu weusi wawe na wanawake wa jinsia zao?

    na hata ukiwa na msichana akiwa mweupe utasema "nimepata mtoto mzurii,kitu cheupeeeee", sasa fikiria huyo msichana akiwa mweusi utasemaje?huu weusi sijui umekuwaje walahi.
  9. uswaswa

    JamiiForums Tanzania Musiba: Bernard Membe amehusika kwa kikubwa kuharibu uchumi wa Nchi

    hili jamaa hivi halioni hata aibu kidogo?mbona anajitoa sana fahamu?au mchawi??
  10. uswaswa

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi 333 kutoka Mamlaka ya Bandari Tanzania

    kumbe hizo za TAA bado deadline haijapita?
  11. uswaswa

    JamiiForums Tanzania Kuna ubaya kujitambulisha kwa kabila la mama?

    Mtwara na Lindi ipi usirahisishe tu mkuu
  12. uswaswa

    JamiiForums Tanzania Kuna ubaya kujitambulisha kwa kabila la mama?

    kama ukitumia kabila la mama yako inamaanisha mamako hamjui baba yako halisi,kwa maana nyingine unamtukanisha mama yako nijuavyo Mimi.
  13. uswaswa

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya namna ya kuomba nafasi za kazi TPA kwa njia ya mtandao

    nimefanikiwa mkuu japo kutuma tu hayo maombi,ya mbele anajua Mungu
  14. uswaswa

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya namna ya kuomba nafasi za kazi TPA kwa njia ya mtandao

    kheri tukubali kushindwa,tutatafuta mitaji tufuge bata hakuna namna,wameweka mlolongo mguuumu shida nini?hapo kwa maana hizo nikuwa hizo kazi ni special kwa watoto wa matajiri si zaidi.
Back
Top Bottom