Recent content by Usipanic buana nakutania

  1. Usipanic buana nakutania

    JamiiForums Tanzania Mzazi anayejivunia mtoto wake kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi

    Hakuna shida, ila nnavyojua Baba akijua binti yake ana boyfriend,huyo boi anaweza pigwa hata risasi aisee!
  2. Usipanic buana nakutania

    JamiiForums Tanzania Mzazi anayejivunia mtoto wake kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi

    Naonaga kwenye muvi tu mkuu😂😂😂
  3. Usipanic buana nakutania

    JamiiForums Tanzania Mzazi anayejivunia mtoto wake kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi

    Aisee...nilidhani wanaojivunia vijana wao kuwa hivyo ni wababa tuu😁😯
  4. Usipanic buana nakutania

    JamiiForums Tanzania Mzazi anayejivunia mtoto wake kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi

    Habari za leo wakuu Kilichonifanya kuandika uzi huu ni hili suala la Wazazi. Nadhani wengi wenu mnakumbuka enzi za shule hasa secondary na high school ilivyokuwa, ule wakati wa story za vijana utasikia tunatetea suala la kuwa na kesi mtaani, mfano; skendo za mahusiano na wasichana kadhaa...
  5. Usipanic buana nakutania

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Network marketing

    Kuna kampuni tofauti na hiyo??
  6. Usipanic buana nakutania

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Network marketing

    Kwa nini mkuu??
  7. Usipanic buana nakutania

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Network marketing

    Nitafanya hivyo mkuu
  8. Usipanic buana nakutania

    JamiiForums Tanzania Nataka kuongezaka/kunenepa fasta, nipate diet gani?

    Staki kuamini kama miili ninayoichukia kuliko kitu chochote kuna watu wanaitamani kiasi hiki
  9. Usipanic buana nakutania

    JamiiForums Tanzania Marais ninaowapenda zaidi

    Hahahh kama ulimpenda muweke tuu mkuu
  10. Usipanic buana nakutania

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu awasili Dar es Salaam akitokea Zanzibar

    Awahi tu akasikie mapumba ya Ndugai
  11. Usipanic buana nakutania

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uendelee, Dkt. Magufuli alishauriwa vibaya

    Mzee alikuwa na Manafiki mengi humo ndani kwake ndo maana hata moyo ukashindwa kuvumilia
Back
Top Bottom