Rais Samia Suluhu awasili Dar es Salaam akitokea Zanzibar

Bado sijamuelewa huyo mama na maamuzi yake zaidi ya hizo picha zenu akienda Znz na kurudi, next time kituo kingine sijui kitakuwa wapi?
 
Samahani Mkuu

Lakni hii ni fikira potofu kwamba Mzee Karume ndio mwanzilishi Taifa la Zanzibar. Katika historia ya ukweli na karibu tu Zanzibar imeanza kukaliwa na binadamu tangu wakati wa Persian Empire. Hassa Bin Ali na watoto wake saba walisafiri katika pwani za Africa Mashariki na walikuwa wakichukuwa maji hapo Zanzibar kwa ajili ya safari zao. Ndio wakafanya vituo na hatimae makaazi ya mapumziko na mji ukaanza kidogo kidogo na ndio maana Mzanzibari asilia anaitwa Mshirazi. Hassan Bin Ali alikuwa anatokea katika mji mkuu wa Iran sikuzile uitwao Shiraz.

Hilo ni kwa mujibu wa akili na upeo wa wana ccm wa Lumumba na Kisiwandui. Kwa wao Zanzibar Ilianzishwa na Karume, Na Tanganyika ilianzishwa na Nyerere.
 
Hilo ni kwa mujibu wa akili na upeo wa wana ccm wa Lumumba na Kisiwandui. Kwa wao Zanzibar Ilianzishwa na Karume, Na Tanganyika ilianzishwa na Nyerere.

Sometimes tunashangaa watu wamesoma wapi na wamesomweshwa nini. Hata hilo jina Zanzibar ni maneno mawili ya Kiirani Zenj + Bar (black coast)

Na hivi ninavoandika ndani ya lugha ya kiswahili yapo maneno mengi sana ya Kiirani cha Shiraz, mfano neno kaka na neno dada haya ni meneno ya Kishirazi yenye maana hiyo hiyo ya kaka na dada, bibi, embe, achari, pamba, mtungi kama tuitumiavyo sisi sasa. Hayati krume inawezekana kaja kujifundisha kiswahili Zanzibar.
 
Hasara ya Atcl inaenda ikipungua mwaka hadi mwaka. Uwekezaji wa mradi wa ndege is a long- run business project. Wapuuzi wa kutafuata chipu popularity wanazungumzia hasara tu. Hawasemi kwenye business plan ya Atcl projection yao BEP ilikuwa iwe baada ya kipindi cha muda gani? Hawa angalii Atcl ina impact gani kama kichocheo cha kurahisisha usafiri hivyo uchumi wa Taifa? Hawaoni faida kama hii ya kumfanya Mh Rais na viongozi wengine wajinome na kuharakisha utendaji wa majukumu yao.

Leo spika kawauliza wa Bunge Swali hili chonganishi kuhusu hasara ya ATCL ngoja utaona wale mawakala wa kushinda na marehemu watavyojitoa ufahamu.
What a stupid argument, you don’t start a business by making losses in anticipation it will recover. Transport business is a very complex issue it’s better to be run privately but then it will not be affordable. How long is the govt going to support Air Magufuli? You can’t run an airline to ferry vogogo around the country. JPM had a plan but all sabotaged by people who did not like him. Watakula watashiba, na sisi tutamkumbuka. RIP JPM.
 
Polepole is a moron, alikuwa anabebwa. 2025, hatutamsikia tena, he will have to find an electorate huko Musoma.
 
What a stupid argument, you don’t start a business by making losses in anticipation it will recover. Transport business is a very complex issue it’s better to be run privately but then it will not be affordable. How long is the govt going to support Air Magufuli? You can’t run an airline to ferry vogogo around the country. JPM had a plan but all sabotaged by people who did not like him. Watakula watashiba, na sisi tutamkumbuka. RIP JPM.

You must be very stupid, a cursed idiot.
 
Akiepuka kuiuza Tanzania kwa bei cheee tu, nami nitahesabika naye kama hatayafanya ya kuudhi ya mtangulizi wake.
 
Samahani Mkuu

Lakni hii ni fikira potofu kwamba Mzee Karume ndio mwanzilishi Taifa la Zanzibar. Katika historia ya ukweli na karibu tu Zanzibar imeanza kukaliwa na binadamu tangu wakati wa Persian Empire. Hassa Bin Ali na watoto wake saba walisafiri katika pwani za Africa Mashariki na walikuwa wakichukuwa maji hapo Zanzibar kwa ajili ya safari zao. Ndio wakafanya vituo na hatimae makaazi ya mapumziko na mji ukaanza kidogo kidogo na ndio maana Mzanzibari asilia anaitwa Mshirazi. Hassan Bin Ali alikuwa anatokea katika mji mkuu wa Iran sikuzile uitwao Shiraz.
Hapakuwa na watu kabisa hapo hadi "Hassan Bin Alli na watoto wake saba" walipofika hapo?

Ndio watu wa mwanzo kabisa ndani ya visiwa hivyo? Au huko misituni kulikuwa na 'manyani' pekee bila kuwepo watu?

Hebu sema, ilikuwa miaka gani hiyo?
 
Ubarikiwe mno mno. Mungu alituona na kutusikia
Hivi Mungu yuko Bongo tu? Kila kitu Mungu na bado maskini wengi tu. Nitaamini kuna Mungu kama vigogo will stop stealing our money and resources! Wanasshiba na kunoma and god can’t stop them!
 
Akiwa visiwani Zanzibar Samia alihudhuria swala ya kumswalia Hayati mzee Karume ambaye ni mpigania uhuru na mwasisi wa Taifa la Zanzibar.

Mheshimiwa Rais Samia mara baada ya kutua kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius K Nyerere ameelekea Ikulu ndogo ya Magogoni iliyopo Dar es Salaam yalipo makazi yake.

View attachment 1746567View attachment 1746568
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiwasili uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, leo Alhamisi wakati akitokea Zanzibar. Amepokewa na viongozi mbalimbali wakiongozwa na mkuu wa mkoa huo, Abubakar Kunenge.
Awahi tu akasikie mapumba ya Ndugai
 
Back
Top Bottom