Recent content by Usiku huu

  1. U

    Vyakula vingine vya Makabila balaa

    Nyama ya paka huwa 2na kula sana, vle vimishkaki vya barabarani na coco beach vitamu hatar.
  2. U

    Mume huyu hapa

    Mmh! Utawapata weng tu, kazi kwako
  3. U

    BARA ZAmani, leo ni sLAa aMA WAZIRI

    Umebun na kufikiria
  4. U

    Nashindwa nimuweke kundi lipi!, "penzi maslahi; au mengineyo.

    Mkuu girlfrnd wako anaelekea ni selfish sana.. Na hakuhurumii hata kidogo, sababu yaweza ikawa;- 1. Malezi, pengne kwao amekua akiamin mwanaume ndio kila kitu (atm, bank, n.k). 2. Inawezekana pia ni yupo kwako coz yeye hajiwezi, amejishikiza kwako mwenye uwezo. 3. Ni dalili za uchoyo...
  5. U

    Amini usiamini Babu amenikamata ugoni!

    Hadith nzuri, ndio unataka uitengenezee part two sio?
  6. U

    Kuku wanauzwa kwa jumla jumla,

    Mbezi tanki bovu kaka...
  7. U

    Ufisadi UDOM..

    Ni mwezi sasa unakaribia kufika, wahitimu wa Mwaka huu wapatao 5,000. Hawajarudishia hela yao ya mahafali 20,000/= kama walivyoahidiwa pindi tu wakirudisha joho... Sasa 20,000/= tshs * 5000 = 100,000,000 tshs... Thz is so serious wanajamii
  8. U

    Kuku wanauzwa kwa jumla jumla,

    Wadau, nauza kuku (chotara-weusi) wa mayai (wanapandwa na majogoo). Pamoja na majogoo wake.. Kuanzia kuku 30 na kuendelea.. Matetea sh 10,000. Majogoo- 15,000.. Wapo katika hali nzuri.. Mnaweza nielekeza ni maeneo gani naweza kupata soko kwa kuwauza kwa jumla?, wapo kuku 250 hv..
  9. U

    Wanawake Vs Wanaume...

    upo juu,..big up
  10. U

    Wanawake Vs Wanaume...

    @change it.. Dah! Hili suala la hela kwa wanawake ni ishu kubwa sana,.. Wao wanatamaa ya hela,
  11. U

    Wanawake Vs Wanaume...

    Labda tuzigawe hizi tamaa, 1.tamaa ya kutosheleza mwili, (sex), 2.tamaa ya kuwa na wewe(kukumiliki)
  12. U

    Wanawake Vs Wanaume...

    @shine, Mwali, Ashadii,.. Ni kweli kuwa mwanaume anaweza kusex na mwanamke hata kama mwanaume huyo hajampenda huyo mwanamke,.. Labda kwasababu amemtaman tu, BUT, pia hatuwezi kumpenda mtu bila kumtamani kwanza, hapo ndipo hatuelewanagi...
  13. U

    Wanawake Vs Wanaume...

    Kipipi, ndivyo tulivyo,..tunajaribu kuweka mambo sawa ili mtuelewe..
  14. U

    Wanawake Vs Wanaume...

    Lazima umtaman kwanza ndio umtongoze.. Na uamue umpende na kumtunza au ulale nae na kuachana nae... Yote yanaanza na tamaa..
  15. U

    Wanawake Vs Wanaume...

    una maana gani?
Back
Top Bottom