Yeye ndiye atakayewapokea na watalazimika kufuata zote za nchi kutoka kwake, wao ndiyo wanaomtihumu, lkn siyo sisi.
Sheria zetu zipo wazi, mwenye tuhuma 1-2-3, haruhisiwi ktk 1-2-3, makonda mpk hapo alipo, ni kwa7bu hana 1-2-3. Wazungu usiwafanye kama miungu, pamoja na machaaaache mazuri, lkn...