Pole Dada yangu kwa Maswahibu yaliyokukuta,jamani wanaume wenzangu tabia hii haifai jama. Hebu fikiria kama Huyu Dada angekuwa Mwanao halafu ukawa unashuhudia namna Majirani na Marafiki zako wanavyofanya naye Uchafu wa Namna hiyo! Inauma sana..lakini dada hayo yamepita Wapo wanaume wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.