Tanzania baada ya uchaguzi je ni kweli haitatawalika?

Tutaakikisha nchi aitawaliki tena "Ndesamburo"

Nendeni mkavamie kituoni cha polisi muwalete hapa kina Lemana wenzake "A loser Dr.Slaa"



Ndugu msiamini sana TV na gazeti, hayo ni made up stories. Clips za the 5th Jan Arusha zipo wazi na hakuna hiyo maneno. Kama uko arusha au una jamaa arusha mwombe akutafutie uziangalie
 
Ule ukoo korofi sana.
Chadema ni kama saccos ya Ukoo.
OTIS.
 
Hamjui hicho ni chama cha msimu. Kinakaribia Expire date.
 
Jamani hawa watu nimewashtukia, Kumbe wanapokuwa kimya sana ujue wanaandaa uongo ili kuusambaza kwenye mitandao ya kompyuta. Walikuja na uongo kwamba MAFUTA, LUKU, NA GESI vingekuwa adimu, Jana wameibuka na uzushi mwingine tena kwamba Serikali ya Zanzibar inaandaa musuada wa Sheria ya kuwalinda familia za marais pale inapotokea Ma-rais hao wamepoteza maisha. Mambo ya kizushi tu ambayo hata mtoto mdogo anapuuza akiyasikia. Sasa sijui watakuja na lipi?

Sijui kama na ninyi mlishalishtukia hili?. WAKO WAPI akina Maziwa Majani ya Maboga? (a.k.a MNM), Jisu kubwa? (TL), Huyu mama wa kawe yupo?. utawasikia watakapoibuka, watakuja na maneno utafikiri wameokota mstu wa MBANDE. Zamani nilikuwa nawahusudu sana,ila baada ya kugundua mambo yao yanayowaweka mjini sina hamu nao tena.

Nitafanyakazi sana ili mkono wangu uende kinywani. "KILA MTU ATAUBEBA MZIGO WAKE MWENYEWE"
Mata.ko ww!
 
Labda uwezo wangu wa kujua mambo mdogo ila ukweli sijajua uhusiano uliopo kati ya aliyozungumza na chadema
 
Sasa wewe ulitegemea nini kutoka kwenye chama cha wahuni, wao ni stori za vijiweni tu. Wanachama wao ni majobless na wavuta bangi. Hizi ndio sera zao.
 
du jamani mwelimisheni msimtukane pengine njaa yake tu,inamfanya atumike kama ko..nd.m na bdye atatupwa pwaa!
 
Back
Top Bottom