Recent content by Ugm bin champion

  1. Ugm bin champion

    Jeshi la Polisi lapekua nyumba ya Boniface Jacob, laenda na GJ Malisa Moshi kupekua nyumba yake

    Fuatilia post zao hao jamaa kila muda wanapost mambo yanayozua taharuki, lengo la polisi ni kupata simu zao wapate ushahidi wa yale wanayoyasambaza katika jamii. Hii mitandao sometime watu wanaitumia vibaya sana, serikali ikiwashughulikia wanaanza kujiliza
  2. Ugm bin champion

    Jeshi la Polisi lapekua nyumba ya Boniface Jacob, laenda na GJ Malisa Moshi kupekua nyumba yake

    Mnalaumu bure polisi kwanini wasiwahoji hao makamanda wa chama hao wazee wa kuzusha kila jambo? Ukifuatilia hata post zao hao majamaa ni uzushi, chuki na kejeli za kila aina kwa watu wasiofuata itikadi za chama chao. Ifike mahala tuache kutetea mtu kisa yuko upande wa chama chako, kama kazingua...
  3. Ugm bin champion

    Ungetamani kusikia collabo ya wasanii gani?

    Zuchu ft Nandy Nandy ft rubi Mauwa sama ft Zuchu Marioo ft Mbosso Lavalava ft Marioo Khadija kopa ft Mzee yusuph Diamond ft wizkid Young lunya ft young killer Diamond ft darassa Darassa ft young lunya Diamond ft Alikiba Ukiondoa mabifu na nyodo za wasanii, hizi ndizo the best collabo kwa East...
  4. Ugm bin champion

    Kwanini Mandela anasifiwa wakati hakuwapa Uhuru Waafrika wa asili wa Afrika Kusini

    Ukichunguza vizuri wanaolilia kutawaliwa na watu weupe, hivyo ni vitoto vingi vya miaka ya 90-2000 kwaiyo usivilaumu havijui madhara ya utumwa ktk ardhi yao. Hii nchi kama tungekuwa chini ya ukoloni basi isingekuwa tofauti na Rwanda&kenya kwa ukabila, migogoro ya wao kwa wao, ubaguzi wa rangi...
  5. Ugm bin champion

    Kwanini Mandela anasifiwa wakati hakuwapa Uhuru Waafrika wa asili wa Afrika Kusini

    Kuna uwezekano baadhi yenu msingezaliwa maana baba/babu zenu wangeuawa ama kukosa uhuru katika ardhi yao wenyewe, ni ajabu majitu yasiyo tambua nini maana ya Uhuru kung'ang'ania kutawaliwa na mtu mweupe kisa maendeleo ambayo nayo msingeyafaidi. Huwa naombea sana hiki kizazi cha mitoto ya miaka...
  6. Ugm bin champion

    Kwanini Mandela anasifiwa wakati hakuwapa Uhuru Waafrika wa asili wa Afrika Kusini

    Acha mawenge na chuki zako za kikoloni hapa, huyo mandela kafanya lipi la maana? Histori hamsomi kazi kudandia dandia mambo juu juu. Huyo mandela atamfikia kwame nkuruma?, nyerere? Jomo kenyata?, patrice lumumba?, Ifike mahala tuache utoto, hayo maendeleo mnayodanganywa huko South Afrika...
  7. Ugm bin champion

    Nimepoteza Kaka Yangu Niliyekuwa Namfuatia

    Ulevi na tabia mbovu kama hizo sio za kuficha na hayo si mapungufu kwamba binadamu anakuwa hana uwezo wa kuyaacha, lazima ifike mahala watu waambiwe ukweli kuhusu tabia mbovu zinazoharibu maisha na afya. Ulevi uliopitiliza ni janga baya linalotakiwa kukemewa na sio kufichwa, acheni upuuzi...
  8. Ugm bin champion

    Ni siri gani kuhusu wewe ambayo hautaki watu wako wa karibu waijue?

    Mijitu inachati humu na kujichekesha badala ya kumwaga hizo siri kama uzi unavyojieleza. Wekeni siri hizo hata kwa mafumbo ndugu zenu wakisoma hawatojua code zenu, muhimu id hazifahamiki.
  9. Ugm bin champion

    Spain kuitambua Palestine kama taifa kamili

    Mnavyoipambania hiyo palestina na israel mngepambana hivyo hivyo ktk migogoro ya hapa East Afrika mbona tungefika mbali sana. Juhudi mnazitumia mahapa ambapo si sahihi, hayo majitu mnayoyapambania wala hayanaga time na ninyi na ndio haya haya majitu yanayoongoza kuwabagua, mfano mzuri tu wewe...
  10. Ugm bin champion

    Hivi ni kweli kusoma vitabu kunaweza kubadilisha maisha ya mtu? una ushahidi wowote?

    Ndiyo ni kweli, mfano biblia na quran zimebadiri wasomaji wengi wamekuwa vilaza na mazombi yasiyotaka kutumia akili zaidi ya hisia zinazotokana na vitisho vya hivyo vitabu. Kitu unachokiona,unachokisoma, kukitazama ndicho unachoulisha ubongo wako, usitegemee akili yako itabaki kuwa empty kwa...
  11. Ugm bin champion

    Ipo haja ya mainjinia wa TANESCO kufanyiwa mohojiano ya kiuchunguzi umeme unapokatika nchi nzima

    Nani sasa wakushughurika na hayo? Kiongozi gani aliyetayari kupambana na hujuma za wapuuzi hapa nchini dhidi ya maendeleo ya nchi. Kama rais kwa sasa hana huo uwezo zaidi nayeye analalamika kama sisi raia tusiokuwa na uamuzi wowote nchini. Kiongozi mwenye uwezo wa kupambana na hizi hujuma...
  12. Ugm bin champion

    Jambo gani umewahi lifanya kwenye mapenzi ukajutia

    Kipindi cha ujana, nilisafiria Penzi kwa binti wa mkoa fulani, mkoa ambao niliutamani sana kuutembelea kutokana na sifa zake wanazoujaza watu. Basi kwakuwa huyo manzi anaishi huo mkoa nikaona hapa ndio fursa ya kumaliza ndege wawili kwa jiwe moja, kidume nikakata tiketi kusafiria penzi lisilo...
  13. Ugm bin champion

    Utata kuhusu Hadithi ya gharika la NUHU na SAFINA

    Mashariki ya kati kuna wanyama? Kuna simba huko? Kuna nyati huko? Kuna tembo kule? Je ikawaje hao wanyama woote wahame iyo mashariki ya kati waje wajazane afrika ambako kiuhalisia hawakupaswa kuwepo kulingana na maelezo ya dini zenu kuwa safina ilisimama huko uturuki mlima wa hararati, yaani...
  14. Ugm bin champion

    Utata kuhusu Hadithi ya gharika la NUHU na SAFINA

    Stories za gharika ya Nuhu ni fiction tu zimetungwa ama zimekuwa copied kutoka ktk hadith za Afrika ya kale. Ukifuatilia vizuri hadithi za Nuhu utagundua kuwa zimetokea si zaidi ya miaka 7000 iliyopita ilihali kuna stori kama hiyo hiyo ambayo ilikuwepo na ilitokea Kabla ya mgawanyiko wa mabala...
Back
Top Bottom