Utata kuhusu Hadithi ya gharika la NUHU na SAFINA

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
40,495
99,290
Wakuu
Kwenye story ya gharika la Nuhu na safina,
Wanyama wakiwa wawili wawili (dume na jike) waliingizwa kwenye SAFINA Kisha yakatokea mafuriko na Giza likatanda kwa siku 40 mfurulizo, Kisha maji yakapungua na dunia ikaanza upya.

Nnachojiuliza,
1. Kama vitabu vimezungumzia khs wanyama tu, Ilikuaje sasa kuhusu mimea iliyoachwa?
Sidhani mimea mingi tuliyonayo duniani kwa sasa ingeweza kuhimili gharika la siku 40 imezama ndani ya maji bila mwanga wa jua ikaendelea kua hai hata baada ya gharika.

2. Mnyama Kama Kangaroo (anaepatikana Australia tu) aliwezaje kusafiri toka Australia, akakatiza bahari mpaka mashariki ya Kati na kufanikiwa kuingia kwenye SAFINA la NUHU.

Na baada ya safina Ni Nani aliyemerudisha Australia?

3. Wanyama Kama PENGUINS,
Waliwezaje kutembea Zaid ya km 7500 kutoka kwenye ncha za dunia (north Poles) Hadi mashariki ya Kati ili kuliwahi safina la NUHU?

Nawasilisha 🙏
 
Ni changamoto, huwa naamini maji hayo ni sehemu husika tu ndio mma ilijaa labda na sehemu za karibu, sio ulimwengu woote. Hata hao wanyama aliowachukua ni wa sehemu hiyo husika, ili itakapotokea maji yameisha maisha yaendelee.
Kuhusu miti bado nafikiria, ila linapokuja suala la uwezo wake muumba ninapoa, kama aliweza kuweka miti kipindi hakipo, hawezi kushindwa kuipa uhai ikiwa chini ya maji kwa siku 40.
Nilijipa homework ya kujua miti ikiwa chini ya maji kwa siku 40 tena kwenye giza, itakufa? Sikuweza kulifatilia hili jambo.
 
Achana na hadithi zisizo na kichwa wala miguu.

Biblia ni hadithi za kutungwa sawa na Hekaya za Abunuwasi au riwaya za Alfu Lela ulela.
IMG-20240205-WA0003.jpg
 
Unapaswa kuelewa Lugha ya Biblia maneno, namba, n.k, muktadha wa tukio husika na moral of the story.
Screenshot_20240322_224508_Chrome.jpg

Stori za Kitabu cha Mwanzo kuanzia sura ya kwanza hadi kumi na moja ilikuwa ni stori zilizotungwa na Wayahudi (ngano) kuelezea mwanzo wa kila kitu.

Matukio halisi yametokea kuanzia sura ya kumi na mbili kwa kuanza na Wito wa Abram.

Lengo la stori nzima ya Noah ni kuonesha kamwe Mungu hatauangamiza ulimwengu na vyote vilivyomo, hata tukimkoseaje.
 
Wakuu
Kwenye story ya gharika la Nuhu na safina,
Wanyama wakiwa wawili wawili (dume na jike) waliingizwa kwenye SAFINA Kisha yakatokea mafuriko na Giza likatanda kwa siku 40 mfurulizo, Kisha maji yakapungua na dunia ikaanza upya.

Nnachojiuliza,
1. Kama vitabu vimezungumzia khs wanyama tu, Ilikuaje sasa kuhusu mimea iliyoachwa?
Sidhani mimea mingi tuliyonayo duniani kwa sasa ingeweza kuhimili gharika la siku 40 imezama ndani ya maji bila mwanga wa jua ikaendelea kua hai hata baada ya gharika.

2. Mnyama Kama Kangaroo (anaepatikana Australia tu) aliwezaje kusafiri toka Australia, akakatiza bahari mpaka mashariki ya Kati na kufanikiwa kuingia kwenye SAFINA la NUHU.

Na baada ya safina Ni Nani aliyemerudisha Australia?

3. Wanyama Kama PENGUINS,
Waliwezaje kutembea Zaid ya km 7500 kutoka kwenye ncha za dunia (north Poles) Hadi mashariki ya Kati ili kuliwahi safina la NUHU?

Nawasilisha 🙏
Noah's Ark is a fallacy, hakuna ukweli wowote ule ndani yake. Kuamini hadithi za Biblia na Qur'an ni kujitakia ujinga tu, let common sense prevail.
 
Wakuu
Kwenye story ya gharika la Nuhu na safina,
Wanyama wakiwa wawili wawili (dume na jike) waliingizwa kwenye SAFINA Kisha yakatokea mafuriko na Giza likatanda kwa siku 40 mfurulizo, Kisha maji yakapungua na dunia ikaanza upya.

Nnachojiuliza,
1. Kama vitabu vimezungumzia khs wanyama tu, Ilikuaje sasa kuhusu mimea iliyoachwa?
Sidhani mimea mingi tuliyonayo duniani kwa sasa ingeweza kuhimili gharika la siku 40 imezama ndani ya maji bila mwanga wa jua ikaendelea kua hai hata baada ya gharika.

2. Mnyama Kama Kangaroo (anaepatikana Australia tu) aliwezaje kusafiri toka Australia, akakatiza bahari mpaka mashariki ya Kati na kufanikiwa kuingia kwenye SAFINA la NUHU.

Na baada ya safina Ni Nani aliyemerudisha Australia?

3. Wanyama Kama PENGUINS,
Waliwezaje kutembea Zaid ya km 7500 kutoka kwenye ncha za dunia (north Poles) Hadi mashariki ya Kati ili kuliwahi safina la NUHU?

Nawasilisha 🙏
Biblia ipo kicode sana haipo waziwazi na kwazamani waliokua wanasoma hayo maandiko walikua watu ambao wapo initiated kupata hayo maarifa(hapo nachanganya na lugha za watu mana sina neno la kiswahili) ,biblia kuielewa vizuri ni kwa watu waliosoma theology hasa wale watu wenye elimu za kemet maana maandiko mengi ni nyaraka za tangu enzi za kemet(misri ya watu weusi) ,babylon na wenzao , ukisoma biblia ya kiafrika utapata mambo mengi, hata hao wayahudi hayo maandiko waliunga unga tokea wapo misri na walipokua utumwani babylon, ni maarifa ya jamii nyingi(civilizations) yakaja kuwekwa kwenye kitabu kimoja,, na code zake kuzielewa hadi utulie ila ukiisoma katika hali ya kimwili utakosa vingi,, ni personification ya universal energies.......,vitu vingi vipo kwenye code ndo maana hata wachawi wanaweza kuitumia hata mtu mwenye nia njema anaweza kuitumia,,,,,,sema wengi kwa sasa wanaisoma direct........,ndo maana kwa makanisa mengi hasa ya wakatoliki mtu hadi uwe padri unafundishwa vitu vingi,,,,,,watu wanasema wakatoliki wanaabudu sanamu mara bikira maria hapaswi kuabudiwa ila ukipata elimu za kemet utaelewa mengi na kemet ndo mambo yote yalipoanzia,,,maana ndo sehemu ambapo wagiriki walipata elimu zao na wakazipeleka kwa warumi
 
Stories za gharika ya Nuhu ni fiction tu zimetungwa ama zimekuwa copied kutoka ktk hadith za Afrika ya kale.

Ukifuatilia vizuri hadithi za Nuhu utagundua kuwa zimetokea si zaidi ya miaka 7000 iliyopita ilihali kuna stori kama hiyo hiyo ambayo ilikuwepo na ilitokea Kabla ya mgawanyiko wa mabala,

na stories hii kwa bahati mbaya inafichwa sana, na kuipata ni either kupitia movies za hollywood ambazo wanazopenda kupenyeza ujumbe kwa jamii kuhusu ukweli wa jambo fulani linalofichwa, au kupitia masomo ya vitabu vya kale ambavyo havipatikani kiurahisi, au stories za mababu zetu vijijini huko ambao hawakuwa brainwashed na hizi dini&elimu za kizungu.

Utata wa Stories za gharika ya nuhu ni mwingi,

Mfano Nuhu alikuwa mbinafsi kiasi gani kuwatelekeza watu waliomsaidia kujenga safina kubwa hiyo iliyojaza mamia ya wanyama, akawaacha watu waliomsaidia?.

Pili huko wanakosema Safina ya Nuhu ilisimama (mlima hararati) mbona hakuna ushahidi wa uwepo wa wanyama hata kidogo? Yaani hata robo ya wanyama hakuna, je hao aliowabeba walikimbilia wapi?

Pia kwa stories za biblia na quran ni kuwa Nuhu alikuwa akiishi iyo middle east jangwani ambako hakuna hata mnyama anayeishi, hapa waisiwadanganye kuwa mazingira yamechange, huu ndio uongo wao wanaopenda kuutumia kudanganya kuhusu ramani na mazingira ya zamani kuwa yalichange, mbona kwa sasa hayachange?
Yaani nuhu alitoka huko middle east kuja Afrika kukusanya wanyama alafu akarudi nao huko middle east ili kuwapakia ktik iyo safina yake?, hiki ni kichekesho sana.

Pia kwa mujibu wa hivi vitabu vya kidini ni kuwa Nuhu alikuwa mtu mweupe, je iliwezenana vipi kutokea muujiza wa Mzungu/mtu mweupe kuja kuleta uzao wa mtu mweusi? Yaani Mtu mweupe amzae mtu mweusi pasipo muingiliano wa jamii mbili za rangi tofauti hii inamake sense kweli?.

Hata kimuujiza hiyo haiwezekani, ktk stories za Nuhu kuna mengi yanafichwa ambayo kama jamii haswa watu weusi wakijua ukweli wa jambo hili basi wataachana na hizi takataka tulizoaminishwa kwa kipindi kirefu hasa dini na elimu za kishenzi huko mashuleni.

Kiufupi, stories za nuhu zimetungwa na huyo Nuhu ajawai kuwepo maana alitungwa na wahuni walioanzisha dini,

Ukweli uko hivi, stories kuhusu gharika zilitokea kweli lakini hazipo kama tulivyodangangwa na vitabu vya kidini.

Gharika ilitokea maelfu kwa maelfu ya miaka kabla hata Mabala ya dunia hayajameguka kutoka ktk bala moja kama historia inavyosema bala la kwanza lililoitwa pangea.

Kiufupi safina ilijengwa kwa ustadi mkubwa ambapo iliwezesha kuingiza viumbe wa aina nyingi huku ikiwa na ukubwa na Muundo Pyramid, ambayo ndio ilikuwa nembo kubwa ya Ujenzi wa waafrika hapo zamani kabla hatujarogwa akili na watu weupe.

Safina haikuwa meli ya kawaida bali mfano wa ndege inayoelea angani, stories hii ni ngeni kwa wengi maana wanajua ndege zimegunduliwa juzi tu kumbe technolojia ilishakuwepo zamani sana, hakuna jipya duniani, someni baadhi ya story za misri ya kale japo zimechakachuliwa lkn bado kuna vijipoint mtagundua kulikuwa na mambo mengi makubwa ambayo hivi leo tunaona kama ni miujiza kwa vizazi vya zamani kumiliki technolojia kubwa tunayoaminishwa kuwa haikuwepo.

Sababu kuu za kutokea kwa gharika ilikuwa ni kusafisha kizazi haramu kilichotokea kwa bahati mbaya na kupelekea tishio kwa Viumbe vya asili.

Ktk kipindi cha gharika kulikuwa na mambo mengi ya hovyo yaliyofanywa na viumbe wa nje ya dunia (malaika wasaliti) walioshuka duniani na kuwafunza watu wa Asili ambao walikuwa Black people kabla ya kuwepo kwa rangi zingine za watu, malaika hao ama kiurahisi mnawaita Aliens waliwafundisha hawa watu wa asili au watu weusi technolojia za giza ikiwepo ulozi, sayansi ya Uzazi wa kutengeneza viumbe machotara kuanzia mtu/binadamu, wanyama mpaka mimea.

Yaani kuchukua mbegu halisi ya kiumbe cha asili mfano mtu mweusi kwa kugeuza DNA zake na kuunda kiumbe kipya kisicho halisi kinachokosa Baadhi ya sifa za uhalisia mfano melanini ndipo ukatokea uzao wa watu weupe wote, pia kuunda uzao chotara wa wanyama na mimea kuliibua uzao mpya wa viumbe machotara ambao hawakuwa sawa na viumbe halisi kimaumbo mpaka uhalisia wa Asili.

Kipindi hicho ndicho dunia ilijawa na viumbe wengi chotara ambao hawakustahili kuwepo dunian maana walihatarisha uhai na usalama wa viumbe halali kwakuwa hawa viumbe waliishi kinyume na asili waliwageuza viumbe wa asili kuwa chakula chao ama baadhi ya chotara wa kibinadamu(nephilims) waliishi kinyume na Taratibu&sheria za Utu kwa kuanzisha tabia chafu mfano ushoga, ibada za kishetani na mengi maovu.

Baada ya machafuko haya ya vizazi najisi kuzagaa duniani, ndipo Nguvu za Asili na Muumba wa kweli ziliamuru kumteua shujaa wa kiafrika mtu halisi kutumia sayansi ya hali ya juu kuunda Chombo ambacho kingewabeba baadhi ya wanyama wasio na unajisi ambao hawakuwa na chembe za uchotara waingizwe humo kwa muda fulani, haikuishia kwa wanyama tu bali mpaka kwa binadamu, kwakuwa mpaka uzao wa Watu ulishachafuliwa kwa kuleta vizazi haramu vya binadamu wa rangi zisizo za asili yaani watu weupe ambao waliitwa nephilims au giants basi shujaa huyo ambaye dini za kutungwa zinamuita Nuhu, alifanya selection ya kuingia na nduguze na baadhi ya binadamu machotara(watu weupe) wachache ktk chombo hicho ambacho kilikuwa ni Pyramid iliyokuwa ikielea angani kwa kipindi chote cha , gharika ama kipindi cha dunia kusafisha viumbe najisi ili viumbe vya asili vibaki kwa usalama.

Biblia na quran zimeficha mengi sana, ukiuwauliza nini ilikuwa dhumuni la gharika hawajui bali wanapiga chenga na majibu yasiyo na maana lengo kubwa ni kuficha ukweli huu ambao bado wanaendelea kuyatenda yale yale yalokatazwa kipindi cha gharika kwa kuunda viumbe najisi mfano sayansi ya mazao ya G.M.O pamoja na uzalishwaji wa wanyama machotara ni kinyume na sheria za asili maana unaharibu uzao wa asili kwa kuleta viumbe ambao hawana maana zaidi ya madhara.

Pia stori hii wapo wanaoijua haswa na ndio hao hao waliobadiri sayansi hii iliyotumiwa na babu zetu waliojenga mapyramids, na kuiba kuingiza ktk imani zao za kishetan mfano freemason, ibada za kishetan, pia ujenzi wa majengo, madaraja, mahesabu na sayansi ya anga hivi vyote vilicopiwa kutoka kwa mababu wa afrika ya kale ambayo ilikuwa na technolojia ya hali ya juu,.

Tuamke tutafute ukweli, dunia ina mengi yaliyofichwa ambayo wengi wetu hatuyajui.
 
Nadhani kabla ya Nuru kulikuwa na PANGEA, bara lilikuwa moja tu

Ila kuna maswali hata ukiuliza hatukuwepo hakuna anayeweza kukujibu. Majibu yatakuja nadharia.
 
Hayo mambo yalitokea huko mashariki ya kati na sio duniani kote
Mashariki ya kati kuna wanyama? Kuna simba huko? Kuna nyati huko? Kuna tembo kule? Je ikawaje hao wanyama woote wahame iyo mashariki ya kati waje wajazane afrika ambako kiuhalisia hawakupaswa kuwepo kulingana na maelezo ya dini zenu kuwa safina ilisimama huko uturuki mlima wa hararati, yaani huko hata swala wala simba humpati je walihama vipi huko? Kwanini msikubali tu ukweli kwamba haya mafundisho yenu mlidanganywa ni uongo mtupu.

Hivi kiuhalisia simba anaweza kuishi jangwani kweli? Yaani nchi za uarabuni huko mshawai kumuona hata ngedere labda hata fisi? Sometime haya mambo ni kutumia common sense kufikiri uongo mnaojazana makanisani na misikitini.
 
Wakuu
Kwenye story ya gharika la Nuhu na safina,
Wanyama wakiwa wawili wawili (dume na jike) waliingizwa kwenye SAFINA Kisha yakatokea mafuriko na Giza likatanda kwa siku 40 mfurulizo, Kisha maji yakapungua na dunia ikaanza upya.

Nnachojiuliza,
1. Kama vitabu vimezungumzia khs wanyama tu, Ilikuaje sasa kuhusu mimea iliyoachwa?
Sidhani mimea mingi tuliyonayo duniani kwa sasa ingeweza kuhimili gharika la siku 40 imezama ndani ya maji bila mwanga wa jua ikaendelea kua hai hata baada ya gharika.

2. Mnyama Kama Kangaroo (anaepatikana Australia tu) aliwezaje kusafiri toka Australia, akakatiza bahari mpaka mashariki ya Kati na kufanikiwa kuingia kwenye SAFINA la NUHU.

Na baada ya safina Ni Nani aliyemerudisha Australia?

3. Wanyama Kama PENGUINS,
Waliwezaje kutembea Zaid ya km 7500 kutoka kwenye ncha za dunia (north Poles) Hadi mashariki ya Kati ili kuliwahi safina la NUHU?

Nawasilisha 🙏
Hakuna gharika na wala hakuna safina.
 
Ivi na wale sokwe wa kigoma walikuwepo?
 
Mashariki ya kati kuna wanyama? Kuna simba huko? Kuna nyati huko? Kuna tembo kule? Je ikawaje hao wanyama woote wahame iyo mashariki ya kati waje wajazane afrika ambako kiuhalisia hawakupaswa kuwepo kulingana na maelezo ya dini zenu kuwa safina ilisimama huko uturuki mlima wa hararati, yaani huko hata swala wala simba humpati je walihama vipi huko? Kwanini msikubali tu ukweli kwamba haya mafundisho yenu mlidanganywa ni uongo mtupu.

Hivi kiuhalisia simba anaweza kuishi jangwani kweli? Yaani nchi za uarabuni huko mshawai kumuona hata ngedere labda hata fisi? Sometime haya mambo ni kutumia common sense kufikiri uongo mnaojazana makanisani na misikitini.
Labla enzi hizo walikuwepo, baada ya gharika wakasusa wakaamua kuhama huko.
 
Ndo maana nakwambia inatokana na kichwa chako ila haiko wazi kihivyo kama mnavyochukulia, hio sio tu wenye matatizo ya akili wanasoma hata wachawi wanaitumia kama kitabu cha upande ule
 
Back
Top Bottom