Recent content by ushindi c.c.m2015

  1. U

    CHADEMA siyo Mali yako Mbowe nani kakupa mamlaka ya kuunganisha ndoa

    Wewe unayo ya chadema taja panapoweka uhalari wa kufanya hivi
  2. U

    Mhandisi/Mwanasiasa Stella Manyanya

    Mnamjadili mtu wakati yake yanaenda nyie mnabaki na vikao jadilini maendeleo yako na familia yako na sio ya mtu au watu, mwisho siku zinaenda unabaki vivyo hivyo. Fikiria maendeleo yako na sio ya mwenzako. Awe injinia au sio injinia wewe itakusaidia nn au yeye atakusaidia nini tuache masufuria...
  3. U

    Dr. Leaky Abdallah, Shafih Dauda, Edo kumwembe na Geofrey Leah nani mchambuzi bora wa soka?

    Wooote hao ki ukweli Dr ni namba 1 maana yeye ndie wa kwanza hao wengine woote wame copy kwake kwa kuingia xana mitandaoni na kupata taarifa lakini wakati ule Dr alikuwa anapata taarifa kwa taabu
  4. U

    Tundu Lissu ni Mhaini namba moja - Mbunge toka Zanzibar!

    Tundu ya kisu hatutakii mema wa zanzibar na endapo kutatokea mauwaji tutaomba mamlaka husika imzuie tundu ya lisu asitoke nnchini maana tunamuhitaji wa zanzibar aje atuthibitishie hilo kaburi la pamoja la tutagawana viungo vyake vya mwili afanye uchochezi huko huko kwenu bara huku atuachie wenyewe
  5. U

    Yafahamu maisha ya Mh. Tundu Lissu tangu akiwa shule ya msingi hadi kuwa mwanasiasa

    Tena ulikuwa unatolewa mashureni kwa ajili ya chakula
  6. U

    Yafahamu maisha ya Mh. Tundu Lissu tangu akiwa shule ya msingi hadi kuwa mwanasiasa

    Lissu kumbe toto burga haikuwa kwenye njaa ya 1974 burga ni unga kama una maziwa uliotolewa na marekani mwaka 1969 mpaka 1973 mwisho tena wakati wa utawala wa kenedy kabla hajauliwa
  7. U

    Kadi ya gari la Gurumo anayo Ruge

    Kama hujijui c o lazima uandike ili uonekane nawe umeandika pambafffffff alaaaaa
  8. U

    Kuuawa kwa waasisi: Waziri akwepa hoja, amshambulia Tundu Lissu

    Lakini kumbuka unaposoma kuna vitu tunasema kuna elimu ya vitendo na ya darasani sasa lissu atuaminishe kwa vitendo baada ya kussoma awaonyeshe wazanzibar hilo kaburi la pamoja. Vinginevyo tutaamini kuwa akina lissu wana agenda ya kuwachonganisha wazanzibar na tanzania bara
  9. U

    Tundu Lissu: Walipotelea wapi waasisi wa Muungano?

    Nasema hivi waseme lakini kikianza kunuka tu naiomba serikali wakuu woote wanyang'anywe passport na wanajeshi wakae mipakani asitoke hata mtu mmoja kukimbilia nje woote tufie humuhumu ndani
  10. U

    Tundu Lissu: Walipotelea wapi waasisi wa Muungano?

    Tena chizi maalifa maana anachokifanya ni familia za akina Hanga zilijipue kama vile iraq.
  11. U

    UKAWA fanyeni utafiti wa kutosha kwanza

    Simiyu yeti hawa jamaa ni kama homa ya kuumwa na mbu. Leo denge .kesho malaria. Keshokutwa matende. Basi irimladi na kama wangeangalia hitaji la wananchi ni nini? Ukawa wasingekuja na agenda ya serikali 3 badala yake wangeibuka na hoja ya daftari labda wangeeleweka
  12. U

    Ratiba ya ziara za UKAWA awamu ya kwanza: Tarehe 14 – 27 Mei 2014

    Kibangila kweli hawajui walala njaa hivi. Slaa. Mbowe. Lipumba. Mbatia. Lissu. Mnyika. Mdee. Na wengineo je? Hao ni walala njaa
  13. U

    Ukawa ni Moto Mkali

    Hapo ulipo nionyeshe ofisi ya chadema ilipo ya wilaya
Back
Top Bottom