CHADEMA siyo Mali yako Mbowe nani kakupa mamlaka ya kuunganisha ndoa

Mi c.c.yem yote vichwani yana waza ukawa tu ,na bado hadi 2015 lazima mkatubu kwenye nyumba za ibada juu ya wizi na ufisadi mkubwa mlio litendea taifa hili.
 
Kama kweli wewe unasimamia ulichokiandika tuambie wewe ni mjumbe wa baraza kuu la Chadema kutoka wilaya gani/ jimbo gani? au wewe ni katibu wa mkoa gani kutoka chadema, maana ni muhimu tutambuane sio kuongelea nyuma ya keyboard halafu unajidai umekerwa na Ukawa kwa maslahi ya maccm Maintarahamwe, weka ushahidi wa hizo fedha unazosema Mbowe anatamaa nazo, alipewa ama anapewa na nani? Walipeana wapi? Kwa madhumuni gani?
Hakika wewe ni maintarahamwe ambao mnaendekeza njaa, ndo mko mnatekeleza project ya propaganda dhidi ya katiba mpya isipatikane, maana mnapoipiga vita ukawa kwa hofu ya umoja huu kuimarika, mnapata mashaka na nafasi zenu zinazoweza saa kufanya ufisadi, tena mnatumia fedha za walipa kodi kupingana na ukawa inayopigania maslahi ya Watanzania,
Hopless Moving Figure maintarahamwe wote
 
Wadau chadema ni chama cha wanachama wote ila katika hali isiyoy ya kawaida Mbowe Kama mwenyekiti wa taifa akuunganisha chama kwenye ndoa ambayo kaamua mwenyewe bila vikao halali vya chama

Cuf kabla ya kuubariki UKAWA walifanya kikao cha baraza kuu wakatoa tamko la chama taifa

Chadema wapi kikao kilikaa kikaridhia kuunganisha cuf na chadema wakati inaeleweka wazi kua cuf na Ccm ni nyumba moja familia

Mbowe umeamua kuiua chadema kwa ajili ya taamaa za fedha ??

Mbona juzi kati kamati kuu ilikuwa inakaa kila siku wakati mkimwazimia zitto mlipo fanikiwa vikao navyo vimekoma kabisa

Mbowe tuitie baraza kuu tuje kujadili ualali wa ukawa na maendeleo ya chama laasivyo tutaita wenyewe

Wenye kuchangia karibuni Sana wenye kubeza pia karibuni
Mkuu,

Kwani siku zote ulikuwa unadhani Chadema ni mali ya nani.
 
Cdm na Cuf hazijaungana,maana sheria hiyo hakuna.

Kinachofanyika ni Uwajibikaji wa PAMOJA DHIDI YA HATMA YA NCHI, ccm haitaki KWANI MASLAHI YAO YANAVURUGWA.
 
unahoji uamuzi wa babako kuoa mitala wakati dini inamruhusu kuoa wake wanne,bado ndoa moja na ACT .tunamtongoza kwanza akikubali tunafunga ndoa
 
Intarahamwe Dawa ya Ukawa inaingia vizuri? Kweli Mwiba wenu ni ukawa Na mkumbuke ukawa nimpango wamungu mtake msitake
 
mbowe anaiburuza chadema sababu ameshaona wanachama wa chadema ni mandondocha
 
mamluki mkubwa wewe,uKAWA inabaraka za wapenda maendeleo wote wa chadema.stop nonsense
 
naungamkono muungano wa vyama vya kisiasa ili kuondoa dudu ccm...cha msingi kuungane kwa dhamira moja
Mkuu jibu swali la mtoa mada!
Mbona kila kitu hujadiliwa na kutolewa maamuzi kwenye vikao?
Wanachama na wapenda amani wana hoji mamlaka aliyojipachika Mbowe kufungisha ndoa bila kujadili na wana chama ameyatoa wapi?

Mbowe ni dikteta?
Mbowe ndio mwenye hisa nyingi chadema saccos?
Kwanini hata Edwin Mtei kakaa kimya kwenye hili jambo?
Yeye alishirikishwa?

Kwanini Mbowe na Slaa wana geuza Chama kama nyumba zao?


Mkuu MSALANI kumekucha tena.
 
Last edited by a moderator:
wadau chadema ni chama cha wanachama wote ila katika hali isiyoy ya kawaida mbowe kama mwenyekiti wa taifa akuunganisha chama kwenye ndoa ambayo kaamua mwenyewe bila vikao halali vya chama
wenye kuchangia karibuni sana wenye kubeza pia karibuni

ndivyo mlivyokubaliana act? Rejea maneno ya kitila:

hata hivyo, ni muhimu kukumbushana kwamba wenzetu hawatanyamaza kwa sababu eti sisi tumeacha kuwashambulia kwenye mitandao ya kijamii. lazima wataendelea! Wataendelea kumchafua mm kwa kupitia wapuuzi kama yule kichaa wa ‘ars’ na kundi lake. Nini tutakuwa tunakifanya sasa? Tutahakikisha tuko busy kupost mambo mema na mazuri yatakayokuwa yakifanywa na mm kila wakati na kuzidi kusambaza sifa zake njema kila inapotokea nafasi. Atakayefanya kazi hiyo ni sisi wengine wala si yeye!
Pia tutahakikisha kila post ya kumchafua inapatiwa majibu bila kutumia id yake inayojulikana. Ni vema aidha akatupatia majibu na sisi kuyapost ama afungue id mpya kabisa ambazo hazijawahi kuwepo kwenye mitandao halafu ndo awe anazitumia kujibu lakini kwa kuzingatia tuliyokwishayazungumza hapo juu yaani kutofanya kwa emotion na kuepuka jazba lakini pia kushauriana na watu wa karibu kabla ya kutoa majibu kwa jambo lolote linalomhusu.

angalia wanaokushabikia!
 
nyari hoja yako nyepesi sana kutushawishi wanajamvi, propaganda huwezi kajipange upya wewe huru kisumundu mmezubazubaa
Mkuu unajua kusoma?
Mtoa mada ameuliza ni kikao gani kilitoa maamuzi ya kufungwa ndoa kati ya chadema na Cuf ambayo mmekuwa mkisema ni Ccm b?
 
mamluki mkubwa wewe,uKAWA inabaraka za wapenda maendeleo wote wa chadema.stop nonsense
Mkuu mtoa mada ameuliza ni lini
Wanachama walitoa maamuzi ya
Kufunga ndoa hii na CcmB?

Mkuu kwanini mkubali mbowe ageuze chama chenu kama mabanda yake ya kuku?ana amua atakavyo.
 
Back
Top Bottom