Recent content by Usernamemalulu

  1. U

    JamiiForums Tanzania Gwajima ang'ang'ania kusali viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe

    Kutukana watumishi wa Mungu ni dhambi kubwa na malipo ndo hayo anayopata. wakatoliki kuanzia Mapadre, maaskofu wamepiga book ndio maana huwezi kuwakuta hata wanalumbana na wapuuuzi kama huyu Gwajima. Hamtumikii Mungu wa kweli, ana mungu wake anayemtumikia ndiy maana anaweza kutukana kias hii...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Hali ya mchungaji Gwajima mahututi ICU

    Masikini, alipokuja mujini akanunua na helicopter akajua yuko above the law! wacha aonyeshwe kwamba muji una wenyewe!
  3. U

    JamiiForums Tanzania Mungu nisaidie nisipate mtoto wa kike

    Big up!
  4. U

    JamiiForums Tanzania Msomi kufanya kazi ya ulinzi ni sahihi?

    Teh...teh....teh....uwiiiiiiiiiiii........ACHA KUDUWAA WEWE. umenichekesha sana.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Waliosoma Jitegemee Secondary School hebu ingieni hapa Tusalimiane

    Bwenge- dudu from no where!
  6. U

    JamiiForums Tanzania Imeniuma na imenigusa mpaka ndani

    Teh teh teh.....Uwiiiiiii! mbavu zangu mieee! safi sana, anaongea kama yuko msalani!
  7. U

    JamiiForums Tanzania Mpaka leo wananificha tuu niwekeni wazi inamaana gan jaman

    umeeleza vizuri, lakini ulipotoa tusi!!! Hakika ume-bore!
  8. U

    JamiiForums Tanzania ITV yasikia kilio cha watanzania ( jacline silem)

    Kwa kweli mimi hata huwa siuoni huo mvuto alionao. kwa upande wangu hamfikii kwa mbali sana Fatma A Nyangasa! labda kama ana nyota ya free-mason.
  9. U

    JamiiForums Tanzania Fupi tamu jamani lakini ndefu hakika inakera

    Hongera mwenzetu kwa kuwa maarufu Jf! umepata nini baada ya kuwa maarufu mpaka na mimi nipitie jina lako kuwa maarufu?
  10. U

    JamiiForums Tanzania Fupi tamu jamani lakini ndefu hakika inakera

    Una kibamia wewe!
  11. U

    JamiiForums Tanzania Madirisha ya Aluminium vs madirisha ya Mbao

    Alminium mpango wote nini bana? Alminium imekuwa suluhisho baada ya mbao kuwa juu! kama cash unayo weka frame ya mbao mkuu.
  12. U

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa tanzania tuandamane dhidi ya kapuya na polisi, zitto na kitila

    .masikini wa akili huyu, hana jinsi ya kusaidiwa, asitupotezee muda kujibishana nae.
Back
Top Bottom