Recent content by user037

  1. user037

    Msaada: Gari ndogo Imejam tyre za nyuma

    Mshana Jr Magari Aina Zote RRONDO JituMirabaMinne Mad Max 92 jerrie Kichuguu
  2. user037

    Msaada: Gari ndogo Imejam tyre za nyuma

    Hello wakuu, hope mko poa. Nimebahatika kununua gari ndogo naitumia vizuri tu bila shida. Leo asubuhi nipo kwenye foleni ya jiji, nataka kusogea tyre za nyuma zikagoma kuzunguka (parking break sikuwa nimeweka so tusiende huko) ila baada ya muda mfupi nikajaribu tena kuondoka ikakubali bila...
  3. user037

    Msaada wa password za Good Vision Smart TV 32

    Angalia kwenye kitabu cha hiyo TV kama unacho utazipata. For TCL TV, master keys ni 0423. Unaweza jaribu bahati yako may be zikaingiliana. Pia unaweza google or ukaangalia/ulizia kwenye official website ya kampuni ya TV hiyo. Ahsante.
  4. user037

    Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

    ROBBINS ni writer. Title BASIC PATHOLOGY. Naomba ulichonacho nimtumie huyu dogo aseme kama ndio hicho. Maana nimekitafuta cha bure hakuna [emoji851] Kinauzwa sites zote.. Especially Amazon
  5. user037

    Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

    Habari wakuu. Naomba msaada wa kitabu hiki.. ROBBINS BASIC PATHOLOGY edition yoyote. Mdogo wangu anasoma MD anakihitaji kwa hali na mali. Natanguliza shukrani. CC: SHIMBA YA BUYENZE
  6. user037

    Diamond aendelea kumkimbiza Rayvanny

    Angalia na uzi unaongelea nini, acha kukurupuka ewe binti Sayuni.
  7. user037

    Msaada: PC yangu haiwaki

    Hahaha.. Relax kijana. Nimekuitia mtaalam hapo Chief-Mkwawa anakuja kukupa jibu kamili la tatizo lako. Badala ushukuru unaleta blah blah.
  8. user037

    Msaada: PC yangu haiwaki

    Iwashe na kiberiti Chief-Mkwawa
  9. user037

    IFM wana matatizo gani? Wanafunzi watatu wa kiume wamejirekodi picha mbaya!

    Me sina.. Ingia Telegram andika "Connection zote Tz" utazikuta huko.
  10. user037

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    [emoji83][emoji83][emoji83][emoji83][emoji83][emoji83][emoji83][emoji83]
Back
Top Bottom