Lissu lissu lissu nimekuita mara3 naomba umwache ndugu yetu asije anguka kesho anamkutano kijijini kwake naona na harmonize yupo kwa ajili ya burudani mpk nyumbn huna uhakika na umewafanyia maendeleo ya taa barabarani na uwanja wa ndege hahahaa
Jamaa walikua wamezoea kukaa ikulu wanawaita waandishi wa habari wanakua live tv karibia zoote wanawaambia raia kua wameingia uchumi wa kati hawataki maswali sasa leo wameweza kukutana na chuma cha mjerumani anagonga nyundoo na spana hatariiii
Lissu kaanzia Dar kaenda arusha akaenda mwanza akaenda shy tabora dom mbeya mtwara then zenji hakukaa kanda ya ziwa kama huyu bwana na ukizingatia nguvu inayotumika huku kanda ya ziwa ni kubwa saaana na ndiko hakubariki kiivyo pia ndo maana anatumia kuchafua mji kwa mabango kusomba mpk watoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.