Uchaguzi 2020 Wanaoratibu kampeni za CCM wana matumizi ya Fedha yasiyo na tija

Naomba CCM itumie pensheni za maaskari kwa ajili ya kampeni. Kisha mkishatumia pensheni za maaskari mfute majina yao kwenye system. Naamini nyie ni wasikivu na mtatakeleza hilo.
 
Chema chajiuza kibaya chajitembeza , hayana huruma na Kodi za watanzania mahutu bana ,eti kujifungua mtoto was kiume 50000 wa kike 40000 , vipalata 20000 , halafu yanachezea hela .
 
Hapo ndio wenzako wanapopiga hela sasa , kuna mmoja yuko kwenye hicho kitengo na kwa hizo wiki chache anaamsha nyumba 2 DSM
 
Hili suala nimetoka kujiuliza juzi baadae ya kuona bango kubwa sn yale ya simu hapa Iring waneweka picha ya raisi, Sasa nikajiuliza kwamba watu hawamfahamu au??

Si Bora hizo pesa wakatupatia sie tusiyokuwa na uhakika wa milo 3???

Dah hela zinachezewa Sana, any way.
 
Kama wanazo acha wazitumie, kwa sababu hiyo ni ajira kwa wengine. Si mlikuwa mnalia mzunguko wa pesa? Sasa zinazunguka kwa matumizi, tena mnasema imetosha. Kweli Matimila alisema kweli "walimwengu hamna jema"!
 
Hili suala nimetoka kujiuliza juzi baadae ya kuona bango kubwa sn yale ya simu hapa Iring waneweka picha ya raisi, Sasa nikajiuliza kwamba watu hawamfahamu au??

Si Bora hizo pesa wakatupatia sie tusiyokuwa na uhakika wa milo 3???

Dah hela zinachezewa Sana, any way.


Ungekewa huna hakika ya milo mitatu ungekuwa unapoteza muda wako hapa KIJIWENI (jamiiforums). Au unawang'ong'a maskini.
 
Ukiona mfuasi wa Lissu anatoa ushauri kuhusu CCM ujue unachokifanya kimemuingia kunako. Chadema hakuna rangi mtaacha kuiona mwaka huu
 
Back
Top Bottom