Recent content by urugasa

  1. U

    JamiiForums Tanzania Lowassa amjibu Nape

    hahahahah!! team loasa kazi ipo.. pamoja na kuandamana kawaita mafuriko....mmmmmmh!! ungetumia lugha nyingine mheshimiww
  2. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanapenda kukumbatiwa na wanaume kwa nyuma?

    mwanamke akikumbatiwa kwa nyuma na mpenziwe anafurahi kusikia msisimko wa mwenzie hasa akiguswa na ile kitu inayomezwa na nyenzie(dushe) raha sana......!!ghafla mikono ishaanza kutambaa sehem mbalmbl za mwili..... ni hayo tu.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Four years experience: I dated Miss Tanzania Top Model

    hahahahahaha!! comment zenu tu me hoi mbavu sina!!! ati anajipimia limbwata vjiko vitatu looool!! jf ni nomaaaa
  4. U

    JamiiForums Tanzania Maisha ni fumbo, imeniuma sana

    Maisha ndivyo yalivyo, usochoke kusaidia hakuna ajuae kesho.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kisheria kuhusu CWT

    Yaani unalilia kukatwa na CWT au kupiga kura? cjakuelewa mkuuu! Pole sana.
  6. U

    JamiiForums Tanzania Kauli 10 za walimu darasani

    hahahah! kama hujaelewa utaelewa bwaloni..
  7. U

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya walimu wa sekondari ndio wahusika wakubwa katika kutuharibia watoto wetu

    hata huku kwetu wamejaaa !! wanaudhi sana yaaan
  8. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa Kwa umma

    UKAWA tafadhali simamisheni mtu makini na anaekubalika kwa watanzania!! tumechoka na serikali ya ccm. kura yangu ipo
  9. U

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Job Ndugai Naibu Spika?

    atakuwa amekwenda kucheck presure uk, ule mjadala ulikuwa hatari sna.
  10. U

    JamiiForums Tanzania Ada za shule na michango yake

    yaaani ni shida michango chungu nzima, shule za kata huku watoto wanapigwa vibaya , sijui kwa sheria gani!! walimu hawatambui wanachostahili kufanya!! mtoto analazimishwa kutoa ada na michango kwa fimbo utadhani kajizaa mwenyewe. hasa walimu vijana hao wenye degree feki hata kufundisha hawawezi.
  11. U

    JamiiForums Tanzania Tetesi za Matokeo Kidato cha Nne 2014

    vumilieni yatakuja tu matokeo !! bado wanarekebisha maksi zenu mfaulu kwa kishindo...hahahahaha... kiwango cha ufaulu kimepanda ukilinganisha na......... tulieni watoto au mwende jkt kwanza ? hahaha natania ...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Binti amenidhalilisha sana

    kweli mkuuu itakuwa katimuliwa kiaina! pole kijana jipange hapa ni mjini kukaa kwa ndugu c mpango !! kula buyu ufanye yako.... hii tunaita kufukuza kitalaaamu
  13. U

    JamiiForums Tanzania Kuishi na mwanamke wa Kizungu kuna raha na shida zake

    vumilia tu c unataka raha ya kuishi na mzungu!! wazungu hawapendi uongo uongo!! ridhika nae mkuu..
  14. U

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi mwanaume kulalamika kuteswa na mapenzi

    mwanaume akipenda kuumia na kupoteza dira inawezekana hahahaha
  15. U

    JamiiForums Tanzania Watanzania, Wakenya, Waganda tuna maumbile ya kiume madogo

    miss chaga nakupendaga bureeeee!! comment zako me hoi
Back
Top Bottom