Recent content by Uri Kwetu

  1. U

    Vijana wakimya wana bahati sana ya kupendwa na wasichana

    wewe unataka wa kwako peke yako huwezi kumpata kumbuka ana marafiki ndugu na jamaa duhhh
  2. U

    Mpenzi wa kaka simuelewi

    Sio lazima waweza kutamka kwamba.huhitaji ukaribu huo. Pia aeshim mipaka yako na yake. Kwani ukimwambia hutaki atakufanyaje?
  3. U

    Mwezi mmoja kabla ya kujifungua mke wangu anataka nimnunulie Murano

    Hata hivo 1)HATA HIVO TUNGEJUAJE UNALIPA KODI YA LAKI NANE KWA MWEZI? 2)TUNGEJUAJE UNAJENGA GHOROFA HUKO KINYEREZI? SIITAJI ELIMU YA FORM FOUR KUUJUA UONGO WAKO. HATA HIVYO HUYO MKE WAKO NI MAJANGA RAV 4 NEW MODEL HUKU MURANO.
  4. U

    Nahitaji nyumba ya kupanga

    Mi ninayo lakin iko Arusha
  5. U

    Viongozi CHADEMA Wawasili Pemba

    Niko lumumba hapa tunapanga kuandamana Kwanini Dr Slaa haoni umuhimu wa Zitto kuhama Chadema.
  6. U

    Trafiki apigwa Ubungo mataa

    Pole zake naonq mpaka mishipa imemtoka
  7. U

    Kwa watakao piga Kura ya hapana tu

    Nyie jf mnajichekesha wenyewe Tume ya Uchaguzi iko nyumbani kwa Ccm sasa hio kura ya hapana utapiga huko huko ulyankulu
  8. U

    Sababu za kwa nini huwa tunachepuka

    I canot believe thes rubish kama vipi post ingine
  9. U

    Lipi bora, kujua au kutojua?

    Sijaelewa kama vipi post ingine
Back
Top Bottom